Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ila serious kuoa mwanamke ambaye ana mtoto tayari inavuruga mambo mengi sana hawa wadada sijui kama wanaelewa madhara ya kuzaa kabla ya ndoa.

Uzao wako wote unaharibika mnatembea na laana tu. na sisi wanaume kama mwanamke humuelewi na huna maisha naye ya mbele usimzalishe unajitia mikosi tu na laana kuzaa na kila mwanamke ni ufala, ukipata mwanamke tombana naye mkichokana achana naye.

Kwani kuwa mwanaume ni mpaka umwage mwage mbegu zako hovyo ? narudia tena huo ni ufala.
Ukitaka kuoa mwanamke mwenye mtoto nenda ukamuulize mama yako kwanza, maana na yeye ni mwanamke umsikie ushauri wake. Akikuruhusu basi oa.
Usimuulize baba, kamuulize mama. Hakuna mama atakayekuruhusu ufanye hilo. Jiulize kwa nini?
 
YAPO MENGI YALITOKEA SIJAELEZA MPAKA KUCHUKUA UHAMUZI HUO. NITAELEZA KATIKATI YA UZI.
Tunashukuru kwa haya uliyotueleza, wengi watakuwa wamejifunza.
a nikamtambulisha nikamwambi ukitaka kujua hali ya watoto wetu basi uongea na mke wangu sio mimi labda kuwe na ishu ya muhimu.
Uamuzi wa busara sana huu.
 
Kuna muda hapo katikati ya uzi nimeshakuzaba vibao vingi mno, maana kuna uzoba kibao ulikuwa nao...

Wewe sijui ni Muha au Msukuma, huwa mnasumbuliwa sana na wanawake, sijui sababu ni ipi haswa...
 
Mwanaume mzima unaruhusu vipi kila siku baba mtoto huyo anapiga simu kwa mkeo. Na unaonekana una upendo wa kijinga na utaburuzwa mpaka uchakae, mama mkwe wako anapata wapi ujasiri wa kukuropokea ushudu huo.

Be a man wameshakupima wakaona we garasa tu huna sumu yoyote.
Yaani nilipofika hapo Kwa mama mkwe nikamdharau jamaa.

Sio Siri kama mama mkwe asingekula makofi siku hiyo hiyo ndio Binti Yao angerudi kwao
 
Saikolojia ya mwanamke ni tofauti sana na mwanaume. Mwanamke hadi anakuvulia nguo ujue kakupenda na sio kutamani. Kutoka kwe hii story huyo bi dada moyo wake ulikuwa kwa ex wake na aliingia kwenye ndoa na jamaa ikiwa kama kakurupuka bado moyo ulikuwa kwa jamaa ake wa kwanza.

Tatizo hukufata ushauri wa mama yako hapo mwanzo.
Ila nikupongeze kwa maamuzi uliyafanya mwishoni.
Umetuwakilisha vyema.
 
Wakuu huyo Dada nilikaa nae kwenye ndoa ni 3.5 years tuuu sio mingi kama navyofikilia.
Alivyoondoka na kwenda kuishi na jamaa 3 mouth sikumruhusu tena kurudi home. Alikuwa anakuja tuu. Kunicheki na kisingizio cha kuleta watoto. Japo baadhi ya vitu vyake vilikuwepo home kwangu , nilikuwa nasubiri vitu vimchachie nami nisepe zangu.
Kipindi anaenda kwa jamaa yake ugomvi ulipo kuwa mkubwa mimi nishaanzisha mahusiano na Dada ambaye ni wife kwa sasa.
Huyo wife umesema alikuwa mfanyakazi wako wa dukani?
 
Ukitaka kuoa mwanamke mwenye mtoto nenda ukamuulize mama yako kwanza, maana na yeye ni mwanamke umsikie ushauri wake. Akikuruhusu basi oa.
Usimuulize baba, kamuulize mama. Hakuna mama atakayekuruhusu ufanye hilo. Jiulize kwa nini?
Ukikuta mama mwenyewe alikuwa single maza hapo vipi?
 
Back
Top Bottom