Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.


Pole sana Mkuu
 

Polee sana brother, lakini pia nikupongeze kwakuchukua maamuzi yakiume bila kuumiza mtu, wala kujidhuru wewe mwenyewe hongera sana, all the best kwa new wife
 
we jamaa utakuwa n jasusi komandoo... wale hata wapigwe shoti ya umeme hawatoi siri, wavumilvu mno
 
Tumechoka kila siku, kama masingle mother wana shida kwanini mnakuwa nao kwenye mauhusiano, kwanini mnawaoa?
Waacheni msiwaguse, wafe upweke. Kama mafuta yanayochemka huyagusi, unajua ni hatari, kwanini hii hatari nyingine usiiepuke?
 
Hahahah tulia basi mrembo.
Hapana Extrovert sijui kwa wengine kama haijawachosha. Mimi imenichosha naona kama, makampuni ya kitapeli yanayoanzishwa mfano Deci n.k
Watu wameshaambiwa msiende, likianzishwa jipya hao.

Ndiyo hii sasa, single mother si wameona ni janga? Kwanini bado mnaendelea?
Mimi simuonei huruma mtu, naona kama wale wa Good morning tu waliopigwa. NA BADO MTAKOMA
 
Bro hongera kwa ujasiri, mimi uvumilivu wa namna hio sikua nao labda sasa hivi. Ila mwanamke malaya hata kama sio single mother hatoacha kukusumbua
 
Single maza wana asali yao fulani sema ukikaa kibwege unapigwa. Kila kitu ni kizuri kikitumiwa kwa kiasi na kwa akili. Ila uki mis-use akili zako tu basi tegemea msiba.

Mimi niko pamoja na single maza siwalaumu kwa sababu kuna watu wanawafaa ila wenye akili ya kujiongeza sana. Ukiona ngoma ngumu unajikata tu 🤣🤣🤣
 
Bora wewe Extrovert una akili. Kuna kundi la wanaume, nia yao kubwa ni kudhalilisha wanawake tu.
Mfano katika single mother 1m, wanaofanya huo ujinga ni 5000 tu, kweli ndiyo ziwe kelele zote hizi na kuunganisha wote?

Humu duniani tuko watu wa kila aina, kila tabia. Kuna baadhi ya wanaume na wanawake ni vimeo balaa. Hatuwezi weka wote fungu moja. Kuna wanawake na wanaume bora sana, tuwe tunatenganisha mambo.
Ndege wafananao huruka pamoja, wasije tupigia kelele hapa. Hupata wa kufanana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…