Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

We achana na single mothers they're big girls they can take care of themselves. Au wewe kuuliza hilo swali lita solve nini? Their children will disappear?

Focus on your little girls!
Unakuwa kama hauna akili !!

kama ujinga si wamefanya wenyewe kama ni mzinifu wanakufaa sana .
 
kazi kweli kweli. mbaya zaidi hawa single mothers wanazidi kuongezeka kila kukicha. unaweza kutongoza wanawake kumi usipate hata moja ambae bado hajashusha injini.
 
Wewe jamaa akili zako kweny mapenzi ni ndogo sana.

Kheri umepatwa na hilo ujifunze na uwe na utambuzi kuhusu mapenzi.

Vinginevyo ungekuja kuuza nyumba ya urithi kisa mke wa mtu.
Niliachananae tangu mda sana,
Ila ndoa nilichelewa kuivunja , nilikuwa nasubiri vimchachie siku anataka kurudi home ndo nimuache na nikafanikiwa.
 
SIJAWAHI KUONA MTU MJINGA NA MPUMBAVU KAMA WEWE.

ULIKUWA ZUNGU KUKU NDO MANA VITINBWI VILIKUWA VINGI.


MWANAUME UNASAMEHE MARA 1 TU.WEWE JAMAA ALIKUWA ANACHAPA,MARA MKE WAKO ANAENDA KULALA KWA JAMAA ZAIDI YA MARA 3 UPO TU


HATA HUYO MKE WAKO WA SASA ATAKUPELEKESHA TU MANA WEWE NI BOYA
 
Kama ungemsamee na kuishi nae tena ningekuona mjinga huo uamuzi uliyochukua ndio ujanamume
Hata uamuzi wenyewe kauchukua kwa kuchelewa sana. Yaani hadi jamaa kampiga chini huyo mwanamke wake, halafu kahamia mbali na kwenda kuoa mwanamke mwingine ndiyo na yeye akaanza kujitutumua.
Alichofanya ni kulipa kisasi tu kisa hana ujanja tena baada ya kuachwa .
 
Daah inasikitisha mnooo!
Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa mwanamke ndiye mwamuzi wa either azae au asizae, na akizaa kwa asilimia kubwa anakuwa amemuelewa sana jamaa yake!
Ndo hivyo mama aliniambia hivyo hivyo
 
Wenyewe wanasema kuna MUHA na JIHA😁😁
 
kazi kweli kweli. mbaya zaidi hawa single mothers wanazidi kuongezeka kila kukicha. unaweza kutongoza wanawake kumi usipate hata moja ambae bado hajashusha injini.
Wanaingia mazima kwenye maisha ya mpito bila ya tahadhari.
Wengine walivyo Wafenge hupatwa genye za mimba wakiona wenzao wana mimba au wakiona wenzao wana watoto.
Sasa mtu asiyeweze kutawala hisia huyo wa kazi gani? Huyo si ni nyoka kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…