Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

We achana na single mothers they're big girls they can take care of themselves. Au wewe kuuliza hilo swali lita solve nini? Their children will disappear?

Focus on your little girls!
Unakuwa kama hauna akili !!

kama ujinga si wamefanya wenyewe kama ni mzinifu wanakufaa sana .
 
Bado, hawezi akakuruhusu kamwe. Wanaopigia kampeni kuwa its okay kuoa mwanamke mwenye watoto either ni mwanamke mwenye mtoto amezalishwa hivyo anataka anaona mtoto wake anastahili kuolewa au yeye mwenyewe ni single mother.
Hata mama mwenye watoto wawili mmoja wa kiume na mwingine wa kike ikitokea mtoto wake wa kike ni single mother atapambania kwa nguvu zote bint yake kuolewa lakini mtoto wake wa kiume akitaka kuoa single mother atapinga hata atajiua.
kazi kweli kweli. mbaya zaidi hawa single mothers wanazidi kuongezeka kila kukicha. unaweza kutongoza wanawake kumi usipate hata moja ambae bado hajashusha injini.
 
Wewe jamaa akili zako kweny mapenzi ni ndogo sana.

Kheri umepatwa na hilo ujifunze na uwe na utambuzi kuhusu mapenzi.

Vinginevyo ungekuja kuuza nyumba ya urithi kisa mke wa mtu.
Niliachananae tangu mda sana,
Ila ndoa nilichelewa kuivunja , nilikuwa nasubiri vimchachie siku anataka kurudi home ndo nimuache na nikafanikiwa.
 
SIJAWAHI KUONA MTU MJINGA NA MPUMBAVU KAMA WEWE.

ULIKUWA ZUNGU KUKU NDO MANA VITINBWI VILIKUWA VINGI.


MWANAUME UNASAMEHE MARA 1 TU.WEWE JAMAA ALIKUWA ANACHAPA,MARA MKE WAKO ANAENDA KULALA KWA JAMAA ZAIDI YA MARA 3 UPO TU


HATA HUYO MKE WAKO WA SASA ATAKUPELEKESHA TU MANA WEWE NI BOYA
 
Kama ungemsamee na kuishi nae tena ningekuona mjinga huo uamuzi uliyochukua ndio ujanamume
Hata uamuzi wenyewe kauchukua kwa kuchelewa sana. Yaani hadi jamaa kampiga chini huyo mwanamke wake, halafu kahamia mbali na kwenda kuoa mwanamke mwingine ndiyo na yeye akaanza kujitutumua.
Alichofanya ni kulipa kisasi tu kisa hana ujanja tena baada ya kuachwa .
 
Japo una kiswahili cha "MUHA" ila tumeelewa.

Huwa sielewi watu wanawezaje kumpenda mtoto wa mwanaume mwenzio kama mwanao. Mimi siwezi nitamchukulia tu kama mtoto mwingine yeyote. Mm nilishaapa sitaoa single mother never ever.

UKIMKUTA SINGLE MOTHER ANAPIGANA NA NYOKA, WEWE MSAIDIE NYOKA MUMUUE SINGLE MOTHER.
Wenyewe wanasema kuna MUHA na JIHA😁😁
 
kazi kweli kweli. mbaya zaidi hawa single mothers wanazidi kuongezeka kila kukicha. unaweza kutongoza wanawake kumi usipate hata moja ambae bado hajashusha injini.
Wanaingia mazima kwenye maisha ya mpito bila ya tahadhari.
Wengine walivyo Wafenge hupatwa genye za mimba wakiona wenzao wana mimba au wakiona wenzao wana watoto.
Sasa mtu asiyeweze kutawala hisia huyo wa kazi gani? Huyo si ni nyoka kabisa?
 
Back
Top Bottom