mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nitajitahidi kuchagua mke mwema mimiBado zamu yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitajitahidi kuchagua mke mwema mimiBado zamu yako
Hawaonekani kwa machonitajitahidi kuchagua mke mwema mimi
bado nina matumaini, nyie mliotendwa msinikatishe tamaaHawaonekani kwa macho
mimi na kisa cha single maza alimkatalia mwanae katu katu asioe single maza jamaa alikuwa akimpenda Maza alileta ugomvi wa kutosha wakafikia kutamkiana kama utamuoa huyo single Maza basi kuanzia leo wewe sio mwanangu tena.Ata single mama hawezi kukubali tena anaweza kukwambia nitakuvulia nguo nikulaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna mama yoyote yule anayemtakia mwanae mema atakubali huo ujinga wakuoa single mama.mimi na kisa cha single maza alimkatalia mwanae katu katu asioe single maza jamaa alikuwa akimpenda Maza alileta ugomvi wa kutosha wakafikia kutamkiana kama utamuoa huyo single Maza basi kuanzia leo wewe sio mwanangu tena.
ukweli ni kwamba single maza wanachangamoto kubwa mno kwa mwanzoni mapenzi yakiwa mapya huwezi kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa mtori dogo, yajayo yanafurahisha😅bado nina matumaini, nyie mliotendwa msinikatishe tamaa
hahahah hakika atajiua! huu ni ukweli kabisa nimeshuhudia kwa jamii nyingi sana hawako tayari kijana aoe single mazaBado, hawezi akakuruhusu kamwe. Wanaopigia kampeni kuwa its okay kuoa mwanamke mwenye watoto either ni mwanamke mwenye mtoto amezalishwa hivyo anataka anaona mtoto wake anastahili kuolewa au yeye mwenyewe ni single mother.
Hata mama mwenye watoto wawili mmoja wa kiume na mwingine wa kike ikitokea mtoto wake wa kike ni single mother atapambania kwa nguvu zote bint yake kuolewa lakini mtoto wake wa kiume akitaka kuoa single mother atapinga hata atajiua.
We fala hapa umeandika kitu cha maana, kumbe watu wa Kahama sometimes wana akili za kuja mjini.SIJAWAHI KUONA MTU MJINGA NA MPUMBAVU KAMA WEWE.
ULIKUWA ZUNGU KUKU NDO MANA VITINBWI VILIKUWA VINGI.
MWANAUME UNASAMEHE MARA 1 TU.WEWE JAMAA ALIKUWA ANACHAPA,MARA MKE WAKO ANAENDA KULALA KWA JAMAA ZAIDI YA MARA 3 UPO TU
HATA HUYO MKE WAKO WA SASA ATAKUPELEKESHA TU MANA WEWE NI BOYA
uamuziuhamuzi
akajahakaja
sexsexy
akanihakikishiaHakaniakikishia
aliyenishaurialiyenushauli
nimeridhikanimelizaka
akamchukuaakamuchukua
utafikiriutafikili
kuanziakwanzia
akafananahakafanana
anahangaikaanaangaika
kulikonikurikoni
dada wa jamaaDada za jamaa
nilisafirinilisafili
akaropokaakalopoka
muda
nilirudinirurudi
akiliakiri
hayakuhusuhayakuusu
huhusikiuhusiki
koficofi
asubuhiAsubui
akasemaakaema
asubuhiasubui
akaamkaakaamuka
hamtakihamataki
vitimbwivitibwi
dada wa jamaadada za jamaa
nahangaikanaangaika
simuhitajisimuitaji
ulifikiriulifikili
hukufikiriahukufikilia
kusuluhishakusuruhisha
uamuziUHAMUZI
uongouhongo
fikiriaFikilia
mitihanimitiani
husemausema
Single mom wenye shida ni wale wasio na pesa. Ukipata wenye maisha yao mazuri ni watulivu. Kuhusu kumkumbuka ex sio wote, ni tabia ya mhusika.hahahah hakika atajiua! huu ni ukweli kabisa nimeshuhudia kwa jamii nyingi sana hawako tayari kijana aoe single maza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume mzima unaruhusu vipi kila siku baba mtoto huyo anapiga simu kwa mkeo. Na unaonekana una upendo wa kijinga na utaburuzwa mpaka uchakae, mama mkwe wako anapata wapi ujasiri wa kukuropokea ushudu huo.
Be a man wameshakupima wakaona we garasa tu huna sumu yoyote.
Saikolojia ya mwanamke ni tofauti sana na mwanaume. Mwanamke hadi anakuvulia nguo ujue kakupenda na sio kutamani. Kutoka kwe hii story huyo bi dada moyo wake ulikuwa kwa ex wake na aliingia kwenye ndoa na jamaa ikiwa kama kakurupuka bado moyo ulikuwa kwa jamaa ake wa kwanza.
Tatizo hukufata ushauri wa mama yako hapo mwanzo.
Ila nikupongeze kwa maamuzi uliyafanya mwishoni.
Umetuwakilisha vyema.
Huna mvuto[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe utakuwa unaweweseka sana na mimi haya njoo nikupe ukate wenge boya wewe
sentensi ya kwanza umesema sahihi kabisa huwezi ku control mawasiliano kwa wawili waliokwisha kuzaa na hapa ndipo shida inakoanziaKuna vitu huwez ku control kwakweli, kama hayo mawasiliano. Tokea mwanzoni angetakiwa asiingie kwenye ndoa na bidada alishaonywa
Kuna dem alipigwa mimba na jamaa, akawa anahangaika mwenyewe na mtoto wake baada ya jamaa kumwambia aendelee na maisha yake kwani yeye hana mpango wa kumuoa tena.hahahah hakika atajiua! huu ni ukweli kabisa nimeshuhudia kwa jamii nyingi sana hawako tayari kijana aoe single maza
Sent using Jamii Forums mobile app