What if hukununua via TAUSIKwenye account yako ya e-ardhi bonyeza sehemu iliyoandikwa Anzisha ombi
Kisha chagua Maombi ya Hatimiliki, kisha chagua Endelea
Baada ya hapo utajaza taarifa kama Mkoa ulikonunua kiwanja, wilaya, Halmashauri, kisha bonyeza WASILISHA
Baada ya hapo utajaza taarifa za wahusika (taarifa zako muombaji) kwa kubonyeza Weka wahusika.
Baada hapo utaombwa kujaza taarifa za kiwanja
Utaombwa nyaraka, hapa utaweka nakala ya kitambulisho kwenye kipengele cha Proof of Citizenship, Utaweka invoice ya kiwanja kutoka Tausi kwenye kipengele cha Sales Agreement, utaweka invoice ya kiwanja kwenye kipengele cha neighbors Consent, utaweka risiti za malipo kutoka Tausi kwenye kipengele cha Proof of payment.
Kama taarifa ulizojaza zitakuwa sahihi utapewa control number ya kulipia gharama za ombi Tsh 5000, kisha utapewa control number ya gharama za kuandaa Hati.
Ukishalipia utakuwa unatrack kwenye mfumo ombi lako limefika hatua gani, na ni ofisi gani inashughulikia hiyo hatua, ni Halmashauri au ofisi ya ardhi ya mkoa.
Ombi likikamilika, litakuwa na status ya Completed na utapata sms ya kwenda kuchukua Hati yako kwa kamishna wa ardhi mkoa husika.
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.What if hukununua via TAUSI
AsanteKwenye account yako ya e-ardhi bonyeza sehemu iliyoandikwa Anzisha ombi
Kisha chagua Maombi ya Hatimiliki, kisha chagua Endelea
Baada ya hapo utajaza taarifa kama Mkoa ulikonunua kiwanja, wilaya, Halmashauri, kisha bonyeza WASILISHA
Baada ya hapo utajaza taarifa za wahusika (taarifa zako muombaji) kwa kubonyeza Weka wahusika.
Baada hapo utaombwa kujaza taarifa za kiwanja
Utaombwa nyaraka, hapa utaweka nakala ya kitambulisho kwenye kipengele cha Proof of Citizenship, Utaweka invoice ya kiwanja kutoka Tausi kwenye kipengele cha Sales Agreement, utaweka invoice ya kiwanja kwenye kipengele cha neighbors Consent, utaweka risiti za malipo kutoka Tausi kwenye kipengele cha Proof of payment.
Kama taarifa ulizojaza zitakuwa sahihi utapewa control number ya kulipia gharama za ombi Tsh 5000, kisha utapewa control number ya gharama za kuandaa Hati.
Ukishalipia utakuwa unatrack kwenye mfumo ombi lako limefika hatua gani, na ni ofisi gani inashughulikia hiyo hatua, ni Halmashauri au ofisi ya ardhi ya mkoa.
Ombi likikamilika, litakuwa na status ya Completed na utapata sms ya kwenda kuchukua Hati yako kwa kamishna wa ardhi mkoa husika.
Kwahiyo Ile hati ya awali kutoka kwa mtu aliyoniuzia kiwanja inahitajika kwenye mfumo/maombi ya hadi mpya kama kiilelezo..?Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.
Utaombwa nyaraka ikiwemo mkataba wa mauziano, form iliyotiwa Saini na majirani ambayo utaidownload kwenye mfumo, na form iliyosainiwa na kiongozi wa serikali ya mtaa/ Kijiji/ Kata na nyaraka nyingine zitakazohitajika.
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja hakijapimwa utaombwa kupimiwa na utapaswa kuwa na hivyo vielelezo na vingine vinavyohitajika.
Unaweza kuingia kwenye huo mfumo ukaangalia yaliyomo mkuu
Mkataba wa mauziano ni lazima na unapaswa kuandaliwa na mwanasheria.Kwahiyo Ile hati ya awali kutoka kwa mtu aliyoniuzia kiwanja inahitajika kwenye mfumo/maombi ya hadi mpya kama kiilelezo..?
kama kiwanja nimenunua kwa mtu kama tulivyooelewena bei kisha nikaenda bank kumlipa pesa yake, hizo nyaraka kama form ya Serikali ya mtaa/Kijiji, form ya Mkataba nitazitoa wapi..?
Asante mkuu, account ninayo tayari.Mkataba wa mauziano ni lazima na unapaswa kuandaliwa na mwanasheria.
Form ya majirani utaipata kwenye mfumo, utaidownload, print, kusainisha majirani kisha utaupload kwenye mfumo ( the same na form ya serikali ya mtaa)
Unaweza kufungua account ukajaribu tu kuomba kubadilisha umiliki, utapewa mahitaji yote pale.
WamejitahidiHabari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.
Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Nimejaribu mfumo ukanipa ujumbe huu " Request for survey plan upload"Kwenye account yako ya e-ardhi bonyeza sehemu iliyoandikwa Anzisha ombi
Kisha chagua Maombi ya Hatimiliki, kisha chagua Endelea
Baada ya hapo utajaza taarifa kama Mkoa ulikonunua kiwanja, wilaya, Halmashauri, kisha bonyeza WASILISHA
Baada ya hapo utajaza taarifa za wahusika (taarifa zako muombaji) kwa kubonyeza Weka wahusika.
Baada hapo utaombwa kujaza taarifa za kiwanja
Utaombwa nyaraka, hapa utaweka nakala ya kitambulisho kwenye kipengele cha Proof of Citizenship, Utaweka invoice ya kiwanja kutoka Tausi kwenye kipengele cha Sales Agreement, utaweka invoice ya kiwanja kwenye kipengele cha neighbors Consent, utaweka risiti za malipo kutoka Tausi kwenye kipengele cha Proof of payment.
Kama taarifa ulizojaza zitakuwa sahihi utapewa control number ya kulipia gharama za ombi Tsh 5000, kisha utapewa control number ya gharama za kuandaa Hati.
Ukishalipia utakuwa unatrack kwenye mfumo ombi lako limefika hatua gani, na ni ofisi gani inashughulikia hiyo hatua, ni Halmashauri au ofisi ya ardhi ya mkoa.
Ombi likikamilika, litakuwa na status ya Completed na utapata sms ya kwenda kuchukua Hati yako kwa kamishna wa ardhi mkoa husika.
Plan no naipataje?Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.
Utaombwa nyaraka ikiwemo mkataba wa mauziano, form iliyotiwa Saini na majirani ambayo utaidownload kwenye mfumo, na form iliyosainiwa na kiongozi wa serikali ya mtaa/ Kijiji/ Kata na nyaraka nyingine zitakazohitajika.
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja hakijapimwa utaombwa kupimiwa na utapaswa kuwa na hivyo vielelezo na vingine vinavyohitajika.
Unaweza kuingia kwenye huo mfumo ukaangalia yaliyomo mkuu
Bei mbona ipoTatizo hawaweki bei ya viwanja, siku ya kuuza viwanja nayo haijulikani..
Marekebisho yanahitajika sana kwenye mfumo..
Mkuu hebu nisaidie kuweka hiyo fomu special ya kusaini majirani inayopatikana kwenye mfumo..Kama umenunua kwa mtu na kiwanja tayari kina Hati, unaomba kwenye mfumo kubadili umiliki.
Utaombwa nyaraka ikiwemo mkataba wa mauziano, form iliyotiwa Saini na majirani ambayo utaidownload kwenye mfumo, na form iliyosainiwa na kiongozi wa serikali ya mtaa/ Kijiji/ Kata na nyaraka nyingine zitakazohitajika.
Kama umenunua kwa mtu na kiwanja hakijapimwa utaombwa kupimiwa na utapaswa kuwa na hivyo vielelezo na vingine vinavyohitajika.
Unaweza kuingia kwenye huo mfumo ukaangalia yaliyomo mkuu
Naomba uweke hapa hiyo form me sijaipata kabisaMkataba wa mauziano ni lazima na unapaswa kuandaliwa na mwanasheria.
Form ya majirani utaipata kwenye mfumo, utaidownload, print, kusainisha majirani kisha utaupload kwenye mfumo ( the same na form ya serikali ya mtaa)
Unaweza kufungua account ukajaribu tu kuomba kubadilisha umiliki, utapewa mahitaji yote pale.
Nimeona mkuu,Bei mbona ipo
Nikweli, hilo ombi linahusisha kiwanja kupandishwa kwenye mfumo ili kiombewe Hati. (Sijawahi kujua nikwanini havipandishwi kabla hadi mnunuzi aombe)Nimejaribu mfumo ukanipa ujumbe huu " Request for survey plan upload"
Na kiwanja nilinunua kupitia mfumo wa Tausi
Nadhani baadhi ya mikoa haipo, pia form zinakuwa generated na mfumo kulingana na ombi.Mkuu hebu nisaidie kuweka hiyo fomu special ya kusaini majirani inayopatikana kwenye mfumo..
Me sijafanikiwa kupata kabisa..
Pia, nikianziasha ombi kwenye mfumo naona mikoa kadhaa tu.
Mbeya
Dodoma
Mwanza
Sijui na upi ule