Ushuhuda na pongezi kwa mifumo ya TAUSI na e-ARDHI

Habari mkuu!
Hivi kununua viwanja kupata tausi hakuna utapeli?

Kuna namna unaweza ku survey viwanja kabla hujanunua?

Na baada ya kununua utaratibu wa makabidhiano unakuwaje ? Unapewa hati hapo hapo?
Hakuna utapeli mkuu, mara nyingi serikali inakuwa imeshalipa fidia wakazi wa eneo husika.

Halmashauri inpandisha viwanja kwenye mfumo wiki moja hadi mwezi kabla ya kuuza, so unaweza kufika eneo husika ukakagua kabla ya kununua.

Unafikaje site, ukiwa kwenye mfumo click kiwanja unachokitaka, Kisha chini kabisa mkono wa kulia kuna button ya google map, hapo itakupa coordinate zinazokufikisha site moja kwa moja. Unaweza kufika site mwenyewe ukajua viwanja vilipo ila unahitaji surveyor kutoka halmashauri husika akakuoneshe mipaka ya kiwanja chako.

Pia ukiwa Tausi pale juu mkono wa kulia unaweza kuchange view kwenda satellite view ukaona viwanja viko maeneo gani, Kuna mabonde, Kuna makazi, Kuna miinuko n.k

Ukishanunua unafanye, Ukishanunua nenda kwenye mfumo wa e-ardhi omba Hati, kama mkoa husika uliponunua kiwanja hawajaanza kutumia e-ardhi, nenda ofisi ya halmashauri ukiwa na invoice kutoka Tausi na risiti ya malipo kutoka Tausi pamoja na nakala ya kitambulisho cha Taifa.

Kama huna account ya e-ardhi, fungua account Leo anza kutalii mle ndani upate uzoefu
 
Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom