Nimejaribu ila sehemu ya kuchugua Mkoa Kuna "Dodoma" tuNikweli, hilo ombi linahusisha kiwanja kupandishwa kwenye mfumo ili kiombewe Hati. (Sijawahi kujua nikwanini havipandishwi kabla hadi mnunuzi aombe)
So anzisha ombi lingine la survey plan apload, huko utapewa plan number ambayo itakuwezesha kuendelea na ombi la Hati. mimi nakumbuka nilipoenda halmashauri kuuliza taratibu wakanipandishia, wakanambia hatua nyingine nikafanye mwenyewe.
Mkuu kwemaHabari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.
Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.

Kwenya mfumo upi naweza kuomba kupata hio plan number?,procedure zipoje?Anzisha ombi la survey plan upload, mimi nilipomaliza kulipia nilienda halmashauri kuuliza taratibu wakanipandishia nikaendelea na ombi la Hati ila unaweza kuomba hapo kwenye mfumo.
Mkuu kwemaHabari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.
Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hatiNikwema mkuu, umeshapata msaada?
Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hati
Pole sana.Bado sijapata mkuu,Kila nayemuuliza ananipa majibu ya AI na sio real time solution,naomba msaada mkuu jinsi ya kuipata hii plan number,Ili niweze kujaza kwenye mfumo wa eArdhi,niendelee na ombi la kuomba hati
Pole sana.
Sehemu uliyofika inahitaji uwe na namba ya ramani ya upimaji pia kiwanja kipandishwe kwenye mfumo ili uendelee na ombi la Hati.
Kwa uzoefu wangu nilikuwa naipata hiyo huduma ofisi ya halmashauri, nilienda na invoice kutoka Tausi na kitambulisho cha Nida. Hiyo ndiyo ilikuwa safari yangu pekee kwenda ofisi ya Halmashauri.
Nikaomba kiwanja kipandishwe kwenye mfumo na nipewe plan number ili niendelee na ombi la Hati, nilisaidiwa ndani ya muda mfupi tu na nibure hupaswi kulipia chochote.
Hakikisha unawaambia wapandishe kiwanja kwenye mfumo.
Fafanua zaidi,ukinunua kiwanja wapi, sqmeter ngapi,wapi?Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia malipo ya kiwanja niliomba HATI kupitia mfumo wa e-ardhi ambao pia ni rafiki sana kwa gharama ya Tsh 54,000. Ndani ya mwezi mmoja tayari nimepata HATI.
Nilinunua kwa kujaribu tu nikiwa tayari kupoteza hiyo pesa, ila sasa nikutoe hofu, yeyote uliyekuwa unawasiwasi na hii mifumo, inafanya kazi vizuri sana.
Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.Ahsante sana,hapa nimeelewa vizuri,
Mi binafsi nilivoanza kununua KIWANJA nilikua nadhani Kila kitu kinafanyika online,sababu ya mifumo ya TAUSI na eArdhi,
Naomba niulize swali la mwisho tena
Ukiacha kuipata PLAN NUMBER ambapo itakuhitaji uende halmashauri manually,ni sehemu gani nyingine inainvolve ufuatiliaji wa MANUALLY ,kuanzia kununua kiwanja TAUSI hadi kupata hati kupitia eArdhi?
Ahsante sana kwa maelezo yaliyonyooka mkuu,acha tuendelee kupambana,mungu akubariki sana🙏Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.
Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
Pole sana.
Sehemu uliyofika inahitaji uwe na namba ya ramani ya upimaji pia kiwanja kipandishwe kwenye mfumo ili uendelee na ombi la Hati.
Kwa uzoefu wangu nilikuwa naipata hiyo huduma ofisi ya halmashauri, nilienda na invoice kutoka Tausi na kitambulisho cha Nida. Hiyo ndiyo ilikuwa safari yangu pekee kwenda ofisi ya Halmashauri.
Nikaomba kiwanja kipandishwe kwenye mfumo na nipewe plan number ili niendelee na ombi la Hati, nilisaidiwa ndani ya muda mfupi tu na nibure hupaswi kulipia chochote.
Hakikisha unawaambia wapandishe kiwanja kwenye mfumo.
Inabidi uombe kupimiwa mkuu.Ikiwa eneo halijapimwa na wewe uliuziwa tu eka kadhaa, hapo inakuaje?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
asante sanaa.Inabidi uombe kupimiwa mkuu.
Kama mkoa husika ni mojawapo ya mikoa ambayo tayari inatumia mfumo wa e-ardhi kutoa huduma za ardhi, unaweza kuomba huduma ya kupimiwa kwenye mfumo. Huko utapewa form za kuwasainisha majirani na utatakiwa kuwa na mikataba ya mauziano pia utapewa control number kwajili ya malipo.
Kama mkoa husika haujaanza kutumia mfumo wa e-ardhi, nenda ofisi ya halmashauri, utapaswa kuwa na mikataba ya mauziano, utapewa form za kuomba kupimiwa eneo lako, utapewa form za kusainisha majirani then utalipia gharama za upimaji
Unaweza kupima eneo lote kama shamba au ukakata viwanja vya makazi, au makazi biashara, au biashara. Inategemea na eneo lilipo.
Gharama za upimaji pia zinategemea na umbali kutoka upimaji uliokaribu hadi kufika lilipo eneo lako.
Habari mkuu!Kwa uzeoefu wangu hakuna jambo lingine linakuhitaji ufike ofisi yoyote zaidi ya kwenda kuchukua Hati kwa kamishna wa Ardhi mkoa husika.
Japo nitafatilia kwa kamishna wa mkoa wangu kujua kama hiyo plan number inaweza kuombwa online pia.
Dar ilisha washindamkoa wa dar es salaam wanauweka lini kwenye e-ardhi kwa ajili ya hati?