Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daa mara hii umetukana jobless ,kumbe mwenzangu una kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui kazi kapata lini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu anaandika kuvutia watu ni kama yule Pembe za PanziSijui kazi kapata lini
Kuonyesha namna ninavyospend maisha yangu nikiwa haiSo nn lengo la post yako?
Hii tabia siipendi.achana na yaliyopita tazama mapya yanakuja
dalili za umama huanza pooole pole
Nipo kwenye taasisi Fulani ya serikali Mambo ya mazingira sio vizuri kuitaja hio ofisi lakini nipo kama mtaalamu Wao techinianUmesahau kutaja kazi yako mkuu
Ila bajet yako iko juu sana
Mim ni mjasiriamali ukiona life yang utanicheka
Lakin ukifika kwang hautaamini
Nina Maendeleo ya hali ya juu mkuu
Kuonyesha namna ninavyospend maisha yangu nikiwa hai
Huku story tu siasa tukutane kuleThink tank wa chama pendwa anaunguruma
Kama unatumia kiasi hicho si maana yake uchumi unakua? Si eti eeh?Huku story tu siasa tukutane kule
Uchumi wa nchi unakua lakini pesa imekuwa ngumu kupatikanika.lazima ukomae Sana hakuna ujanja ujanjaKama unatumia kiasi hicho si maana yake uchumi unakua? Si eti eeh?
Kama unalipwa kwa mwezi. Hii 20,000 ya kila siku isiyoisha unaitoa wapi?Uchumi wa nchi unakua lakini pesa imekuwa ngumu kupatikanika.lazima ukomae Sana hakuna ujanja ujanja