Ushuhuda:natumia zaidi ya elfu 20 kwa siku.

Ushuhuda:natumia zaidi ya elfu 20 kwa siku.

Umesahau kutaja kazi yako mkuu
Ila bajet yako iko juu sana
Mim ni mjasiriamali ukiona life yang utanicheka
Lakin ukifika kwang hautaamini
Nina Maendeleo ya hali ya juu mkuu
 
Umesahau kutaja kazi yako mkuu
Ila bajet yako iko juu sana
Mim ni mjasiriamali ukiona life yang utanicheka
Lakin ukifika kwang hautaamini
Nina Maendeleo ya hali ya juu mkuu
Nipo kwenye taasisi Fulani ya serikali Mambo ya mazingira sio vizuri kuitaja hio ofisi lakini nipo kama mtaalamu Wao techinian
 
Kama unatumia kiasi hicho si maana yake uchumi unakua? Si eti eeh?
Uchumi wa nchi unakua lakini pesa imekuwa ngumu kupatikanika.lazima ukomae Sana hakuna ujanja ujanja
 
Uchumi wa nchi unakua lakini pesa imekuwa ngumu kupatikanika.lazima ukomae Sana hakuna ujanja ujanja
Kama unalipwa kwa mwezi. Hii 20,000 ya kila siku isiyoisha unaitoa wapi?
Hivi uchumi ukikua si inabidi reserve ya fedha za kigeni iwe kubwa?
 
Jamaa una maisha mazuri sana una unnecessary cost za kutosha.

pombe daily.
kubet daily.
bangi daily.

Hapo unapoteza la ten kila siku, by the way ni maisha yako,na wewe ndo una hati miliki yake .
 
Back
Top Bottom