Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Nilipata ajira kupitia ulevi na mlevi mwenzangu
2. Nilifanya maamuzi ya kuoa nikiwa nimelewa, na sasa nina familia
3. Nilinunua viwanja viwili mjini Dsm na nikajenga kupitia mlevi mwenzangu anayefanya kazi halmashauri idara ya ardhi
4. Niliamua ninunue gari nikiwa bar nimelewa na nikalinunua kwa mlevi mwenzangu
5. Nilipata tenda ya kusupply vyakula gereza fulan kupitia bar tukinywa na maafisa fulani
6. Nilianza kula kitimoto nikiwa bar,na sasa mm n mdau muhimu wa mnyama huyu
7. Projects nyingi za hela nilipata mawazo nikiwa bar nalewa na walevi wenzangu
8. Maamuzi magumu yote ya "lazima na mm niwe na kitu kile" nayafanyaga nikiwa nimelewa
9. Asilimia 95 ya jamaa zangu ninaosaidiana nao mjini niliwapata nikiwa nalewa
10. Niliamua niwe na paasport ya kusafiria nikiwa nimelewa. A na mlevi mwenzangu aliiprocess ndani ya siku 1 ikawa mkononi,na aliniletea bar
Informations zote za watu, nchi, dunia, fursa zinapatikana bar watu wakishalewa.
Maamuzi magumu mazuri huanziaga mtu ukilewa.
Connections zote bar.
DRINK BEER TO SAVE WATER..Lets meet at Deluxe Bar Rumba ~ Sinza Kijiweni, DsmView attachment 547906View attachment 547907
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Na hata siku ya kufa kwako, utakufa ukiwa umelewa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] uchochezi mwingine bana