USHUHUDA: Nikishalewa nafanyaga maamuzi mazuri sana

USHUHUDA: Nikishalewa nafanyaga maamuzi mazuri sana

Pombe ndio kila kitu kumbe

Ngoja nianze kunywa!
 
Kama unakunywa au unalewa

Epuka sanaa hawa wanafiki wasiokunywa pombe

Wakati wao wanaogopa kufanya vitu vya maana wewe unathubutu.

Niliqnza kilimo cha nyanya kwa aidia kutoka bar,

Mpaka leo nafanya vitu vya msingi hata kama nimelewaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nilipata ajira kupitia ulevi na mlevi mwenzangu

2. Nilifanya maamuzi ya kuoa nikiwa nimelewa, na sasa nina familia

3. Nilinunua viwanja viwili mjini Dsm na nikajenga kupitia mlevi mwenzangu anayefanya kazi halmashauri idara ya ardhi

4. Niliamua ninunue gari nikiwa bar nimelewa na nikalinunua kwa mlevi mwenzangu

5. Nilipata tenda ya kusupply vyakula gereza fulan kupitia bar tukinywa na maafisa fulani

6. Nilianza kula kitimoto nikiwa bar,na sasa mm n mdau muhimu wa mnyama huyu

7. Projects nyingi za hela nilipata mawazo nikiwa bar nalewa na walevi wenzangu

8. Maamuzi magumu yote ya "lazima na mm niwe na kitu kile" nayafanyaga nikiwa nimelewa

9. Asilimia 95 ya jamaa zangu ninaosaidiana nao mjini niliwapata nikiwa nalewa

10. Niliamua niwe na paasport ya kusafiria nikiwa nimelewa. A na mlevi mwenzangu aliiprocess ndani ya siku 1 ikawa mkononi,na aliniletea bar

Informations zote za watu, nchi, dunia, fursa zinapatikana bar watu wakishalewa.

Maamuzi magumu mazuri huanziaga mtu ukilewa.

Connections zote bar.

DRINK BEER TO SAVE WATER..Lets meet at Deluxe Bar Rumba ~ Sinza Kijiweni, DsmView attachment 547906View attachment 547907
417bd277dc7887cf24f1d4bb438f5262.jpg
natafuta mlevi mwemzangu tupange dili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom