Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa!
Kwa siku 1 m-baba mume wa mtu na mwenye familia yake na kazi yake nzuri Serikalini anaagiza visichana 3 tofauti kwa muda tofauti. Ni kula tu maisha. Kati ya dakika 30 hadi saa 1 mtu anakuwa ameshamaliza kubandua.
Vijana wa bodaboda wanabatuliwa sana na wake za watu wenye 'maisha', wanawalipia guest na kila kitu ilimradi tu walale nao.
Nimeshuhudia sana couples zinakuja guest na michepuko kwa mida tofauti tofauti. Yaani wanachepukiana bila wao kujuana.
Umalaya, ufuska, uzinzi umetamalaki sana ndugu zangu. Yaani ugumu wa maisha /ukosefu wa nguvu za kiume/ uwezo mdogo wa kufanya umesababisha watu kuchepuka sana kwa gharama yoyote ile.
Mchana ni muda hatari sana kwa watu wenye familia zao. Muda huu unatumika vizuri sana kwa watu hawa. Ukitoka home, nyuma mama nae anatoroka, anaenda kubebwa na mwanaume anafyatuliwa kwa lisaa 1 then anarudi home mapema sana.
Tuwe makini sana. Mchana ni hatari sana.
Guests kuna mambo mengi sana makubwa ya hatari.