Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

"Eti Kuna makubwa sana yanafanyika Guest hasa mchana" Mimi katika simulizi yako sijayaona hayo makubwa.Hayo uliyosema ni makubwa wala siyo makubwa, ni ya kawaida sana.

Mimi mwenyewe nimekuja mbio nikidhani kuna jambo jipya limejitokeza huko gesti.. kumbe ni kugegedana tu? Watu wanagegedana tangu kuumbwa kwa Adam na Eva sasa hapo kikubwa ni kipi..?
 
Sasa kama hamuwali vizuri hao wake zenu kwanini wasiliwe na watu wenye nguvu zao za kiume?
 
Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa!

Kwa siku 1 m-baba mume wa mtu na mwenye familia yake na kazi yake nzuri Serikalini anaagiza visichana 3 tofauti kwa muda tofauti. Ni kula tu maisha. Kati ya dakika 30 hadi saa 1 mtu anakuwa ameshamaliza kubandua.

Vijana wa bodaboda wanabatuliwa sana na wake za watu wenye 'maisha', wanawalipia guest na kila kitu ilimradi tu walale nao.

Nimeshuhudia sana couples zinakuja guest na michepuko kwa mida tofauti tofauti. Yaani wanachepukiana bila wao kujuana.

Umalaya, ufuska, uzinzi umetamalaki sana ndugu zangu. Yaani ugumu wa maisha /ukosefu wa nguvu za kiume/ uwezo mdogo wa kufanya umesababisha watu kuchepuka sana kwa gharama yoyote ile.

Mchana ni muda hatari sana kwa watu wenye familia zao. Muda huu unatumika vizuri sana kwa watu hawa. Ukitoka home, nyuma mama nae anatoroka, anaenda kubebwa na mwanaume anafyatuliwa kwa lisaa 1 then anarudi home mapema sana.

Tuwe makini sana. Mchana ni hatari sana.

Guests kuna mambo mengi sana makubwa ya hatari.
upo sahihi 100%.. ni hakika 98% ya mahusiano ya sasa hayako salama kabisa ni Mungu tu atusaidie.
 
"Eti mambo makubwa na ya kutisha yanafanyika guest"

Kwa kifupi hakuna jipya chini ya jua. Umalaya ulikuwepo tangu zamani, mfano Sodoma na Gomora, kahaba Rahabu wa Yeriko, kahaba aliyemfuta Yesu miguu kwa nywele zake na mafuta ya gharama hadi Yuda Iskarioti akashtuka n.k
 
Exactly

Ova
 
Kitambo gest moja,nilishuhudia jamaa kashikwa shati alipie usafi wa chumba,binti aliyekuwa nae kanya kwenye mashuka walikuwa wanafanya michezo ya mibaya...hapo kwako haijawahi tokea?
 
Dadako au mtu wako wa karibu walivyokuja kupata huduma hali ilikuaje?.
 
Ngono si jambo la kushangaza na kutisha. Binadamu tunafanya ngono sana ndo maana tunaongezeka. Hayo ya style, mke, boyfriend ni formalities tu za namna tulivyohalalisha ufanywaji wake.
 
Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa!

Kwa siku 1 m-baba mume wa mtu na mwenye familia yake na kazi yake nzuri Serikalini anaagiza visichana 3 tofauti kwa muda tofauti. Ni kula tu maisha. Kati ya dakika 30 hadi saa 1 mtu anakuwa ameshamaliza kubandua.

Vijana wa bodaboda wanabatuliwa sana na wake za watu wenye 'maisha', wanawalipia guest na kila kitu ilimradi tu walale nao.

Nimeshuhudia sana couples zinakuja guest na michepuko kwa mida tofauti tofauti. Yaani wanachepukiana bila wao kujuana.

Umalaya, ufuska, uzinzi umetamalaki sana ndugu zangu. Yaani ugumu wa maisha /ukosefu wa nguvu za kiume/ uwezo mdogo wa kufanya umesababisha watu kuchepuka sana kwa gharama yoyote ile.

Mchana ni muda hatari sana kwa watu wenye familia zao. Muda huu unatumika vizuri sana kwa watu hawa. Ukitoka home, nyuma mama nae anatoroka, anaenda kubebwa na mwanaume anafyatuliwa kwa lisaa 1 then anarudi home mapema sana.

Tuwe makini sana. Mchana ni hatari sana.

Guests kuna mambo mengi sana makubwa ya hatari.
actually, ukitaka kujua kuwa guest/lodges ni mahali pa uzinzi, nenda lala siku mbili au tatu. kuanzia usiku vilio vya mapenzi vitakavyosikiwa hivyo balaa. mamiguno ya ajabuajabu, uchafu mtupu. enzi zangu pia mimi nilikuwa naweza kulala na mwanamke hapa nikamwambia subiri kwanza naenda kuna mishe fulani anisubiri hapohapo chumbani lodge kumbe naenda lodge ingien kubandua mwingine na kumrudia yule. Mungu mkubwa sikupata magonjwa.
 
Back
Top Bottom