"Eti Kuna makubwa sana yanafanyika Guest hasa mchana" Mimi katika simulizi yako sijayaona hayo makubwa.Hayo uliyosema ni makubwa wala siyo makubwa, ni ya kawaida sana.
Ugwe maswali gani hagho?vipi huwa wanatumia kinga au basi ngoja nipite tu
Si ndiyo hapoHapa sijaona jipya
Watu wa mikoani bana.Niliwahi sikia kuwa Ijumaa DSM gesti zinajaa huwezi pata room.
Mshana Jr hili hujalifanyia research? Naamini pia hili ni reason ya talaka.
Mi siyo wa mikoa banaWatu wa mikoani bana.
Si ndio nyie mnajua eti kila anaeishi Dar ana mahela sio?
upo sahihi 100%.. ni hakika 98% ya mahusiano ya sasa hayako salama kabisa ni Mungu tu atusaidie.Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa!
Kwa siku 1 m-baba mume wa mtu na mwenye familia yake na kazi yake nzuri Serikalini anaagiza visichana 3 tofauti kwa muda tofauti. Ni kula tu maisha. Kati ya dakika 30 hadi saa 1 mtu anakuwa ameshamaliza kubandua.
Vijana wa bodaboda wanabatuliwa sana na wake za watu wenye 'maisha', wanawalipia guest na kila kitu ilimradi tu walale nao.
Nimeshuhudia sana couples zinakuja guest na michepuko kwa mida tofauti tofauti. Yaani wanachepukiana bila wao kujuana.
Umalaya, ufuska, uzinzi umetamalaki sana ndugu zangu. Yaani ugumu wa maisha /ukosefu wa nguvu za kiume/ uwezo mdogo wa kufanya umesababisha watu kuchepuka sana kwa gharama yoyote ile.
Mchana ni muda hatari sana kwa watu wenye familia zao. Muda huu unatumika vizuri sana kwa watu hawa. Ukitoka home, nyuma mama nae anatoroka, anaenda kubebwa na mwanaume anafyatuliwa kwa lisaa 1 then anarudi home mapema sana.
Tuwe makini sana. Mchana ni hatari sana.
Guests kuna mambo mengi sana makubwa ya hatari.
Exactly"Eti mambo makubwa na ya kutisha yanafanyika guest"
Kwa kifupi hakuna jipya chini ya jua. Umalaya ulikuwepo tangu zamani, mfano Sodoma na Gomora, kahaba Rahabu wa Yeriko, kahaba aliyemfuta Yesu miguu kwa nywele zake na mafuta ya gharama hadi Yuda Iskarioti akashtuka n.k
Swali zuri mno Hilo!Hela za 'short time' ulikuwa unapeleka kwa tajiri?
Mida ya lunch hawa ni wa maofisini jinsia zoteMkuu kwa uzoefu wako wateja wengi wanakua kuanzia saa ngapi mida ya mchana
Za Wahudumu hizo wao ndio uingiza pesa nyingi Sana kuliko tajiri.Hela za 'short time' ulikuwa unapeleka kwa tajiri?
Hii niliisikia kwa lodge za Moro..!! Watu wanazijaza sana weekendsNiliwahi sikia kuwa Ijumaa DSM gesti zinajaa huwezi pata room.
Mshana Jr hili hujalifanyia research? Naamini pia hili ni reason ya talaka.
actually, ukitaka kujua kuwa guest/lodges ni mahali pa uzinzi, nenda lala siku mbili au tatu. kuanzia usiku vilio vya mapenzi vitakavyosikiwa hivyo balaa. mamiguno ya ajabuajabu, uchafu mtupu. enzi zangu pia mimi nilikuwa naweza kulala na mwanamke hapa nikamwambia subiri kwanza naenda kuna mishe fulani anisubiri hapohapo chumbani lodge kumbe naenda lodge ingien kubandua mwingine na kumrudia yule. Mungu mkubwa sikupata magonjwa.Nimefanya kazi kama mhudumu wa guest (ya kawaida) hapa DSM kwa miaka 10 mfululizo. Niseme tu kwamba, kuna makubwa sana yanafanyika hasa nyakati za mchana kwa wake/waume za watu, wafanyakazi wa Serikali na mashirika, vijana wa bodaboda (kwa wake za watu) na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa!