Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

Wako akiwa kwako, ukifatilia utaumia tu.
Ukinusurika ukimwi shukuru Mungu
 
Unaweza ukajilinda ujanani ukaukwaa ukimwi ndoani
 
Vyote ni vilio vya wizi
 
Kuna siku nilikua zamu bhana kama bahati tu wale wateja kutoka tu nikazama nikakuta mashuka yote yamejaa nnyaa jamaa alimtatua rinda yule manzi kingine nacho ingaws hakisemwi lakini unakuta dume na dume lenzie linakuja eti linataka chumba kinyaa sana huwa nilikua natimua kwa hasira😡😡
 
Kama ni dakika 30 tuu labda hivo visichana vinaenda tu kujifunza kama tuisheni. Havifanyi kitu
 
Huu ndio ukweli mchungu.
 
Hakuna uhusiano chanya kati ya kuolewa bikra na kutochepuka au kuolewa shimo wazi na uchepukaji.
Wapo watu wengi tu waliolewa bikra ila n8 viwembe hatariii
 
Ndoa zinavunjika kwakua vijana wanapiga show za kibabe wakirejea home ukilinhanishwa na ww uliechoka hamuwezi kua sawa ndio mana unaambiwa mlizishe mwenzio
 
Nimeishi bongo miaka mitano sasa ila wanamke wa huku naona kama ni wafanyabiashara nguli sana

Wanaamini bila hela humpati ndio maana siku hizi wanamke kushare bwana ni swala la kawaida ukiuliza sababu Jamaa anamkwanja
Kwanza wanaume kwa wanamke wote ni matapeli
 
Hakuna uhusiano chanya kati ya kuolewa bikra na kutochepuka au kuolewa shimo wazi na uchepukaji.
Wapo watu wengi tu waliolewa bikra ila n8 viwembe hatariii
Mkuu nisome katikati ya mistari!

Hilo nimelibainisha ktk nyongeza hapo chini ktk post uliyoni-quote kwamba kwa asilimia fulani/kubwa walioolewa shimo wazi ndo rahisi kutoka nje ya ndoa.
 
Kuwa na heshima kabisa nakuambia jieshimu hilo tu
 
Asante kwa taarifa..ila kumbuka nyege ni suala lingine acha watu watoane nyege kwa staili wanazoona wao inawafaa..chamsingi wakumbushe kutumia kinga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…