Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

Kutoa huduma ni pamoja na kutunza siri za wateja, kama madaktari watafungua nyuzi zao huku kusema ya wagonjwa itakuwa sawa ??
Lakini maisha ndio haya haya wengine hatupati hata hao wamama wakututoa out wengine wanajipigia tu.
 
jambo msilolijua ni kuwa, hao wahudumu wa guest mara nyingi huwa wanaacha nafasi kwenye dirisha ya kuwapiga chabo, na pia wengine huwa wanaweza camera zisizoonekana, movie zinauzwa kwa watu wakufanyia ransom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…