USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

Utamkuta msomi anahubiri neno la Mungu ila mfukono bonge la hirizi. Huenda mambo mengi hasa ya maendeleo yanafanyika kichawi.
 
Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.

Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.
Wanapelekwa kwa ajili ya usalama wao then wanaachiwa tu!
 
Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.

Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.
Wanamuepusha na hasira kali ya wananchi.
 
Back
Top Bottom