Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Hufunga Akili, mwili, nafsi, moyo na macho. Unajifariji huku unaumia.Mkuu mim sikuwah kuamin hayo mambo kbs,ila amin nakwambia siku yakikukuta utaelewa. Nina cases nyingi sn nimezishuhudia mwanzo mwisho sio kwamba watu wananifanyia michezo/hujuma, it's really. Ulishawah kuona unampa kaz mwanakijij alinde machine mgodin kwa elfu 10 per person yan usiku mmoja, na wako wawili but ikifika asbh wanakwambia tafuta walinz wengine wao hawatak tena kulinda ktk hilo eneo. Tukabadili walinz karibu mara3 nakupandisha dau (kwa kijijin hiyo ni hela nyingi kdg kwa usiku mmoja) lakin watu wakawa wanatema bungo, kumbe Kuna show za kibabe walikua wanazishuhudia ucku .... Ilifika mahali tukafunga iyo site baada ya kula hasara kubwa ,tuliandamwa na kila aina ya balaa . Halaf jamaa watu wabaya, yaan we unaendelea kujipa moyo kwamba apa tutatoboa, hata ushauriwe unaona aah hiz changamoto tuu zitaisha, had kuja kushtuka ushaunguza hata 15m.
Mwaka 2012 nilifunga biashara sehemu fulani baada ya kuona mambo hayaendi, na nikahama. Baada ya kuhama nikapata mfanikio.
Nikapazoea, nikaanza kufeli tena. Nikafnga Biashara, nikahama. Hapa nilipohamia nimepiga sana hela, ila sasa hivi naona mambo yaanza kugoma. Nina mpango wa kupahama.
Mitume wenyewe walihama, mimi nani nisihame pale nionapo mambo hayaendi.
Usipofanya hivyo, hutoboi.,