USHUHUDA: Nilivyokutana na ushirikina kazini

Plot twist, hao jamaa waliodai kwenda kwa mganga wamekupiga. Sasa wametengeneza mazingira ya kukupiga kila mara kwa kisingizio cha uchawi uwape hela waende kutoa lock kwa mganga.

Uchawi/wanga/ulozi/ushirikina ni story za kusadikika hazina ukweli wowote.
 
Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.

Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.

Kinachofanyika ni kuwatisha wamatumbi wenzao wanajua they will fall for it ili wakupige. Umtishe mzungu vp wakati haamini mungu wala ushirikina. Ukiingia king tu wanakupiga hadi uimbe hallelujah kama huyu mleta uzi lazima afurahi huko. Hakuna uchawi wala nini.

Hakuna mchawi amewahi kuanguka unakuaga usanii tu hasa wa makanisa yakileo kuvutia wateja wanajua watanganyika wanaamini sana story za ushirikina. Polisi wanamchukua mtuhumiwa kwa usalama wake.
 
Plot twist, hao jamaa waliodai kwenda kwa mganga wamekupiga. Sasa wametengeneza mazingira ya kukupiga kila mara kwa kisingizio cha uchawi uwape hela waende kutoa lock kwa mganga.

Uchawi/wanga/ulozi/ushirikina ni story za kusadikika hazina ukweli wowote.
Bora useme na ww aise...
 
Kinachofanyika ni kuwatisha wamatumbi wenzao wanajua they will fall for it ili wakupige. Umtishe mzungu vp wakati haamini mungu wala ushirikina. Ukiingia king tu wanakupiga hadi uimbe hallelujah kama huyu mleta uzi lazima afurahi huko. Hakuna uchawi wala nini...
Mm niliwah kuta eneo la kazi mahela sijui ya wapi sijui ya kigerman watajua wenyewe na maneno ya kiarabu...nikakusanya nikachoma..watu walinikataza hata kushika..ohh had umuite mganga blah blah kibao..sijawah hata pata ndoto za ajabu au kuweweseka..na najua waliweka watenda kazini ili wanitoke hela
 
Ndugu yangu uchawi upo, hadi kwenye vitabu vya dini(biblia) umeandikwa. Hii ya kusema ukiamin ndo wakupata achana nao kabisa, tembea uone!

Safi sana. Watu wanafeli kushindwa kuelewa kwamba wanatengenezewa mazingira ya kupigwa pesa na wajanja, wao wanakubali matokeo na kukiri uchawi matokeo yake wanaishia kupoteza pesa zaidi.
 
Mm niliwah kuta eneo la kazi mahela sijui ya wapi sijui ya kigerman watajua wenyewe na maneno ya kiarabu...nikakusanya nikachoma..watu walinikataza hata kushika..ohh had umuite mganga blah blah kibao..sijawah hata pata ndoto za ajabu au kuweweseka..na najua waliweka watenda kazini ili wanitoke hela
Hii unayosema wewe ni kweli kama una imani kali na Mungu uchawi hautakuletea shida, washuhuda wengi wa mambo ya kiroho wanasemaga kama una imani kali na Mungu wako au kama umefanyiwa dawa ya protection against dark powers uchawi utasikiaga tu kwa wengine lakin usiaminishe watu kuwa uchawi haupo, uchawi upo tena sana tu!

𝖀𝖈𝖍𝖆𝖜𝖎 𝖍𝖆𝖚𝖐𝖚𝖇𝖆𝖑𝖎𝖐𝖎!
 
Ndugu yangu uchawi upo, hadi kwenye vitabu vya dini(biblia) umeandikwa. Hii ya kusema ukiamin ndo wakupata achana nao kabisa, tembea uone!

Nimetembea sana mkuu sijaona kitu zaidi ya story za kusadikika. Watu hasa sisi wamatumbi tupo pre-conditioned kuamini haya mambo ndo maana wajanja wanatengeza mazingira and people fall for it. Ukifikiria vizuri hata wewe hujawahi kuona uchawi zaidi ya story za hearsay na wewe umeamua kuziamini.

Biblia yenyewe inawalakini vile vile, so huwezi niaminisha story za kusadikika kupitia kitabu chenye walakini (Kasoro zenye kasoro).
 
Kwani waarabu ,Wachina na wazungu hawana hizo mbanga MIGODINI?

Ungeishi nao ungekuwa na la kuhadithia hapa.[emoji1787][emoji1787]
Binafsi nomeshuhudia. Wazungu wanaendekeza hizo mambo pia japo kama hawajali vile.

Hao mnaoita viongozi wa dini wamo hasa kwenye mchezo huo. Sema tu acha dunia iendelee na safari. Yakikufika ndo utaelewa.

Miaka ya 1980 nikiwa mdogo fulani hivi, nilishuhudia tukio ambalo ndo kwa mara ya kwanza nilianza kuelewa kuna uchawi. Nimetumwa kusaga, mashine haiwaki. Kaitwa fundi hangaika we, wapi. Baadae akaamua kufungua injini. Anakuta vitoto vya panya kazalia sehemu fulani.

Fundi alibaki kushangaa inakuwaje mashine kila siku inafanya kazi na vitoto vya panya viko pale.
 
Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.

Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.
Mi nachoamini wazungu na waasia ni washirikina zaidi katika uchawi kuliko sisi, hebu fikiria kuhusu Freemasons na projects zao .Hapo ndo utajua wenzetu wametuacha mbali Sana katika tasnia hii
 
Dah,! Mkuu huwajui vizuri hao ngozi nyeupe, hasa wa Hindi na wa China hao nd'o washirikina balaa Mimi nimefanya nao kazi mwaka wa kumi huu sio watu poa kabisa hakuna kazi wanafanya bila kafara pamoja na utaalam wao na mitambo yao yote.

Ni kweli wahindi ata mm nimewai kufanya nao kazi za ujenzi wa barabara camp, mm nilikua nabaki ofcn ila wanaoenda site walikua wanasema kabla ya kuanza mradi mpya walikuwa wahindi wanaenda huko wanachinja sana kuku
 
Mi nachoamini wazungu na waasia ni washirikina zaidi katika uchawi kuliko sisi, hebu fikiria kuhusu Freemasons na projects zao .Hapo ndo utajua wenzetu wametuacha mbali Sana katika tasnia hii
Uko sahihi kabisa, kama ambavyo teknolojia yao iko juu kuliko sisi waafrika, ndivyo na uchawi wao pia, uko juu kuliko wetu.

Ndio maana ni rahisi wao wakija huku wanapiga kazi bila shida[emoji16][emoji16]
 
Hapo umeliwa hao waliokwenda kwa mganga huenda kuna mahali wamechezea so baada ya huyo kukuita chemba mwenzake ameenda fasta kurekebisha kisha wakachukua hiyo buku 20 na kutia mfukoni mimi bado siwezi kushawishika kama kweki uchawi upo mpaka niuone na kuugusa kama babu yangu thomaso.
Kwakweli hata mm kuamini ulozi upo ni ishu! Sema waganga wanaijua mno saikolojia ya mteja wao
 
Kinachofanyika ni kuwatisha wamatumbi wenzao wanajua they will fall for it ili wakupige. Umtishe mzungu vp wakati haamini mungu wala ushirikina. Ukiingia king tu wanakupiga hadi uimbe hallelujah kama huyu mleta uzi lazima afurahi huko. Hakuna uchawi wala nini...
Mkuu nani kakudanganya kuwa mzungu halogi?, kwenye watalii wanaopanda Mt. Kilimanjaro takribani 45% wanaenda kufanya hayo mambo. Hii sio blah! blah!.

Kwa mchina unafikiri ujangili kwanini route kubwa ya masoko ni China?, hao jamaa huwaambii kitu kwa wanavyoamini pembe ya ndovu.
 
Ni kweli uchawi upo na una nguvu, ila unafanya kazi kwa mtu asiye amini, na ni kwamba Nguvu ama damu ya Yesu Kristo ndiyo mwisho wa matatizo yote hayo.

Mlichezewa mchezo huo sababu kati yenu hakukuwa na aliyekuwa na imani dhabiti- ukishakuwa na imani haba basi wachawi wanakujua na wanakuchezea michezo - hakuna uchawi wowote ule utapita mbele yako kama unamwamini Mungu aliye juu.
 
Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.

Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.

Aliyekupngopea waarabu na wachina siyo wachawi nani?
 
Back
Top Bottom