Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wachina unaowasema walipewa eneo wachimbe madini na wakataka wenyeji wahamishwe kibabe, wazee wakakaa kitako, hadi kesho mchina hakuona hayo madini na mitambo ameisusa hana mpango nayo, imebaki historia tu.Cha kushangaza akija mzungu, mchina au muarabu kuchimba kunakua hakuna vikwazo kama hivyo na wanafanikiwa kuchimba na kupata wanachokihitaji.
Pia ninashangaa Serikali haiamini uchawi ila anapokamatwa mchawi kaanguka uchi wanatia pingu na kumpeleka kituo cha polisi je kule anaenda kama mtuhumiwa wa nini au anaenda kuhukumiwa kwa kutokuvaa nguo yaani anatembea uchi.
Uko smart mi nimekataa tanga nawaona mpaka wachina, waarabu na wazungu wakija kuroga na kufanyiwa dawa jirani yetu ni mganga wanakuja na gari kali ila uyo mganga nyumba ya nzuri kwa mbele kali ma uwani kweny ofisi yake ya kufanyia kazi ni kbanda cha udongoTatizo waswahili tuna shida sana! Mzungu akiua Mswahili mgodini hicho ni kifo cha kawaida ila ngoja mtu afie kwenye mgodi wa mswahili!! Tambiko.
Nimefanya nao kazi sana, wanaloga kinyama na hakuna wanachofanya bila kuloga. Ajabu alikuwa hatoi pesa au malipo siku ya Jumanne watu wakachukulia kawaida kumbe majini yake yamemkataza!! Fanya wewe mswahili uone utavyoandamwa na kashfa za uchawi.
KirangaYule jamaa anaejiita kiranga mpinga uwepo wa Mungu na ushirikina, aje hapa apinge kwa hoja[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu mim sikuwah kuamin hayo mambo kbs,ila amin nakwambia siku yakikukuta utaelewa. Nina cases nyingi sn nimezishuhudia mwanzo mwisho sio kwamba watu wananifanyia michezo/hujuma, it's really. Ulishawah kuona unampa kaz mwanakijij alinde machine mgodin kwa elfu 10 per person yan usiku mmoja, na wako wawili but ikifika asbh wanakwambia tafuta walinz wengine wao hawatak tena kulinda ktk hilo eneo. Tukabadili walinz karibu mara3 nakupandisha dau (kwa kijijin hiyo ni hela nyingi kdg kwa usiku mmoja) lakin watu wakawa wanatema bungo, kumbe Kuna show za kibabe walikua wanazishuhudia ucku .... Ilifika mahali tukafunga iyo site baada ya kula hasara kubwa ,tuliandamwa na kila aina ya balaa . Halaf jamaa watu wabaya, yaan we unaendelea kujipa moyo kwamba apa tutatoboa, hata ushauriwe unaona aah hiz changamoto tuu zitaisha, had kuja kushtuka ushaunguza hata 15m.Hapo umeliwa hao waliokwenda kwa mganga huenda kuna mahali wamechezea so baada ya huyo kukuita chemba mwenzake ameenda fasta kurekebisha kisha wakachukua hiyo buku 20 na kutia mfukoni mimi bado siwezi kushawishika kama kweki uchawi upo mpaka niuone na kuugusa kama babu yangu thomaso.
Hii dunia ni Kama iceberg..kilichoko juu hadharani ni kidogo kuliko kilichoko chini kisichoonekana Kwa machodunia ina mambo
Hata tza vipo vyuo vya uchawi mfano kimoja kipo temeke.Unasoma darasani uchawi miaka 5 kisha uganga miaka 2 ukimaliza unapewa cheti kuendelea na elimu ya juu ya uganga na uchawi.Natamani kujua hukumu mojawapo ya mchawi ambaye yuko jela kwa kosa la uchawi. Kuhusu wazungu ni hawafai [emoji119] wao wana vyuo kabisa vya witchcraft and wizardry [emoji23] wao hawapai kwa ungo, wanasafiri kwa ufagio [emoji3472]
Unatenganishaje hoja na isiyo hoja na unajuaje utenganisho wako ni sahihi?Yule jamaa anaejiita kiranga mpinga uwepo wa Mungu na ushirikina, aje hapa apinge kwa hoja[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Natamani kujua hukumu mojawapo ya mchawi ambaye yuko jela kwa kosa la uchawi. Kuhusu wazungu ni hawafai [emoji119] wao wana vyuo kabisa vya witchcraft and wizardry [emoji23] wao hawapai kwa ungo, wanasafiri kwa ufagio [emoji3472]
Hii hali inatokeaga kabisa unaamka asubuhi mara ghafla unasema liwalo na liwe mi siendinlimwadithia mfanyakazi mwenzangu mwenye uzoefu wa miaka mingi kazini kuhusu kusitasita kuja kazini.
alinipa ushuhuda wake binafsi...
"wewe unasita tu kuja kazini! ...mimi nliacha kazi kabisa."
Hapa nimecheka sana"Na mwingine akaenda akaleta ka kuku kadogo akachimba shimbo pembezon mwa site akakafukia kale kakuku kakiwa kazima. Baada ya hapo wakamwambia Operator awashe machine. Mi naangalia tuu km movie, aisee huezi amini machine ikawa na power kuzidi hata uwezo wake siku zote"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niliwahi kusikia kwamba kitu chochote chenye asili ya chuma sio rahisi kurogeka, ndo maana sanduku za kuhifadhia pesa (safe boxes) zinatengenezwa kwa chuma... hapo mchawi na uchawi wake vinadunda.Duuuh!! Kazi ipo watu wanaroga mpaka chuma.