Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ha ha ha biashara ya kusubiri miti miaka 10 hapana aisee! Miaka yote hio unapalilia,unaprune,unanyunyuzia dawa?!
only prunning na kufanyia usafi shamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha biashara ya kusubiri miti miaka 10 hapana aisee! Miaka yote hio unapalilia,unaprune,unanyunyuzia dawa?!
Una eka ngapi?only prunning na kufanyia usafi shamba
Una eka ngapi?
Zina miti mingapi?3 tu mkuu...!
Bei ya soko sasa hivi mti mmoja bei gani?Sijahesabu...nadhan hazizid mashimo 3000
mtiki upo juu...m1 unafika had 70 elfu na zaidi .kwa pines sijajua..Bei ya soko sasa hivi mti mmoja bei gani?
Aisee...kama 200m hivi. Could be good retirement plan. Nifungulie PMmtiki upo juu...m1 unafika had 70 elfu na zaidi .kwa pines sijajua..
Ngoja nikutxtAisee...kama 200m hivi. Could be good retirement plan. Nifungulie PM
Kila ekari ilikugharimu shingapi?3 tu mkuu...!
Kila ekari ilikugharimu shingapi?
gharama za ukodishaji eneo ama kuna maeneo maalum yametengwa? Upandaji wake unategemea mvua ama umwagiliaji.Miti ni bure.. (miche)gharama ni vibarua wa kuchimba mashimo only
3 tu mkuu...!
Asante sana mkuuOngezea hekari ziwe nyingi, ongeza kila mwaka weka malengo kadhaa pia wekeza zaidi kwenye miti ya matunda.
Wenye kuhitaji cashflow ya kila siku hawawezi kukuelewa unapozungumzia suala la miti,
Malila yumo humu anafafanua sana.
Hahaha Mimi hii siwezi Fanya tena hii
Ila kwa Dada kama yule pale juu anayefuga za biashara.
Kama ni mzululaji vizuri kwa dar a naweza fanikiwa
gharama za ukodishaji eneo ama kuna maeneo maalum yametengwa? Upandaji wake unategemea mvua ama umwagiliaji.
Kama ni group la wajasiriamali naomba link nijiunge nami nijifunze zaidi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww unanikumbusja ya mama manengelo msabato yule[emoji23][emoji23][emoji23]..wanatoboa wanapanda chinese..ukiuliza nn shida wanakuambia.km huna eneo la kulima mboga mboga..mara ikaja ya makopo[emoji23][emoji23][emoji23]na hapo amezunhukwa na maeneo balaa ya kulima.hhahahahaha
Ila mm hii organic food naifanya kwa berries..ss kwenye chinese jaman inatesaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]..chinese ikianza kitobolewa unaambiwa spray na mavitunguu swaumu..jaman..hahahaa..chinese unakula inataste swaumu hahahha yaan km uchawi vile
Kuna mama m1 anaishi UK..ni mtz..akatuletea deal tulime pure organic mchicha..tulikua watu 65...kila mtu akalima 2acres..mm nilichomoa coz nilishanusa..ikasemekana mchicha ule ungepelekwa UK..nilihoji maswali sana sikupata aloniunga mkono as mie nimewah lima mchicha..ule unalegea mapema sana..hehhee watu dumila walikodi mashamba balaa..mchicha ukakwivaa[emoji23][emoji23][emoji23]...kifupi mchicha haukuchumwa ht jani 1...ulionekana una bacteria sana kwenye majani...!hapo amezurura km 6mths kuomba vibali asafirishe Uk..!walispray swaumu hizo ...khaa..ule mwaka jaman..!walio kwenye groups huyu mama ni muongeaji balaa...anatunyali balaa watz..akaja bongo akaingia front..lol..yako wap
Ufugaji wa kuku na ndege wengine kwangu nauona una tija nadhani ni namna nilivouchukulia, lakini kwa uzoefu wa miaka niliyofuga kimazowea plus kufuga kibiashara nimegundua ukiwafuga kwa wingi ndipo utakapopunguza gharama na kuongeza faida kuliko ufuge sijui KUKU mia au miambili hivi ambao hawazaliani....sasa kufikia hiyo idadi kubwa ya Kuku inategemeana na strategy yako kiufugaji plus level of tolerance ya payback period uliyojiwekea na mtaji anzia wako.
Kwa Kuku wa Mayai, chotara na Kienyeji angalau ukiweza kufikisha Kuku 300 wenye umri wa kutaga na wanataga ndipo utaiona tija na uzalishaji utaongezeka vizuri , chini ya hao Kuku nadhani Mimi kwa uzoefu wangu mdogo ni kuishi na Kuku tu.
Soko lipo ukiamua kujikita soko la Mayai locally tu huwezi kulimaliza unless una changamoto ya kutafuta soko mahali ulipo na nje ya hapo au unauza kwa matarajio makubwa hivyo bei kubwa kuwafanya walaji wa kawaida ambao ni wengi kushindwa kumudu...
Kama ni group la wajasiriamali naomba link nijiunge nami nijifunze zaidi.