Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kweli na tatizo nyama ya kuku ni anasa kwa watanzania,ukiwafuga kibiashara ukifika sokoni lazima ulie
Biashara ya kuku wa kienyej ni km kaukichaa fulan...unamfuga kuku kwa 9mths..ukimpelekea mtu wa bar hachukui..anakuambia kuku mdogo..kiupaja kidog..mayb uwe na jogoo..!kuku kienyej fuga kwa kula tu...labda ukubali wakae mwaka..🤔🤔