Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na kipindi flani nmerudi nyumbani nikakuta watu wanawafundisha kina mama huko kijijini eti walime mboga ya kuuza kwenye mifuko ya salfet😂😂😂😂
Yaani wazoe udongo waweke kwenye viroba......
Mwisho hata mboga ya kula haikupatikana
Natamani kupata experience zaidi toka kwako.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mnapeleka mchicha wenye bacteria UK mnataka kumuua malikia Elizabeth? 😂😂😂😂😂😂😂😂 ww unanikumbusja ya mama manengelo msabato yule😂😂😂..wanatoboa wanapanda chinese..ukiuliza nn shida wanakuambia.km huna eneo la kulima mboga mboga..mara ikaja ya makopo😂😂😂na hapo amezunhukwa na maeneo balaa ya kulima.hhahahahaha
Ila mm hii organic food naifanya kwa berries..ss kwenye chinese jaman inatesaaaa😂😂😂..chinese ikianza kitobolewa unaambiwa spray na mavitunguu swaumu..jaman..hahahaa..chinese unakula inataste swaumu hahahha yaan km uchawi vile
Kuna mama m1 anaishi UK..ni mtz..akatuletea deal tulime pure organic mchicha..tulikua watu 65...kila mtu akalima 2acres..mm nilichomoa coz nilishanusa..ikasemekana mchicha ule ungepelekwa UK..nilihoji maswali sana sikupata aloniunga mkono as mie nimewah lima mchicha..ule unalegea mapema sana..hehhee watu dumila walikodi mashamba balaa..mchicha ukakwivaa😂😂😂...kifupi mchicha haukuchumwa ht jani 1...ulionekana una bacteria sana kwenye majani...!hapo amezurura km 6mths kuomba vibali asafirishe Uk..!walispray swaumu hizo ...khaa..ule mwaka jaman..!walio kwenye groups huyu mama ni muongeaji balaa...anatunyali balaa watz..akaja bongo akaingia front..lol..yako wap
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mnapeleka mchicha wenye bacteria UK mnataka kumuua malikia Elizabeth? 😂😂😂😂
Mi nashukuru hicho cha kwenye maroba nilimuwahi bimkubwa nikampa somo akaelewa hakufanya kabisa!
Bongo aliyeweza kusafirisha hayo mazao yule dada analima iringa anaitwa Hadija Jabiry ila hawa wengine mizinguo sana!😂😂😂😂😂😂 Bongo nyoso sana..lakin wenzetu Kenya wań sera nzuri..wanaexport..sio sie kina Mwijage anaongeaaaaaa .khaa
Bongo aliyeweza kusafirisha hayo mazao yule dada analima iringa anaitwa Hadija Jabiry ila hawa wengine mizinguo sana!
Sasa hivi kilimo cha parachichi ndo kiko on🔥🔥🔥🔥🔥sasa sijui huko mbeleni
Yes! Sema ukiingia nae mkataba wa kulima afu yeye ananunua masharti Mengi sana!Yes ..huyo na wale wakak wa chuga
Eye careKuna promotion ya mbegu fulani hapo
[emoji2960][emoji2960]Jinsi nilivyoweza kutengeneza mil. 30 ndani ya mwezi 1-Ontario
Jamaa alianzaga story kama hizi za mtoa mada kilichofuata ITV ni Isidingo.
Kuna mradi wa rafiki yangu niliutembelea juzi juzi walah niliutamaniii. Ana mradi mkubwa mno wa kuku tena wa kisasa kweli.Kuku
Ni mradi mzuri sanaKuna mradi wa rafiki yangu niliutembelea juzi juzi walah niliutamaniii. Ana mradi mkubwa mno wa kuku tena wa kisasa kweli.
Pole me ninao wa kienyejiHongera sana! Nilifuga chotara aisee si nikaja kukosea formula ya chakula walipoanza kutaga!
Nmeuza wote juzi kati hapa
🙏🙏🙏🙏Pole me ninao wa kienyeji
Haswa ukiwa na uhakika wa soko.Ni mradi mzuri sana
![emoji3][emoji3][emoji3]hao Kuku wa wiki nne wakoje mkuuSafi, unaendelea kutufundisha tuache uoga, tukimbilie ndoto zetu. Ila unamwagilia au unategemea mvua? Vipi changamoto ya magonjwa ya mimea? Nguvu kazi, mwingine anaweza kudhani kilimo ni rahisi kama kunywa maji. Kuna kuku wa wiki 4 wametoa watu kamasi. Ila naamini ukiwa na taarifa sahihi na mtaji inawezekana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupe mrejesho mkuu maswahibu gani yalikukutaAisee niliwahi kulima kitunguu, sina hamu[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru Mungu nilishafanya kilimo..tena kwa kupewa buure bwana shamba wa sua..heheh...kilimo sio rahis km alivyoandika..atupe mahesabu hapa na bei ya mbegu za vitunguu ..na alitumia aina ipi ya umwagiliaj kwa hizo siku 100..na alitumia sh ngap kwa vibarua...hapa kun vibarua wa3.
1.wakulima tractor
2.kuweka mabox au matuta na zile furrows kupitisha maji..wana bei zao..azawaizi alisaidiwa na mama zake wadogo
3.wakuangalia shamba plus msos kwa 100dys!
kama hujikuti unabak na 200k..alafu et eka 1[emoji23][emoji23][emoji23]...
pluz madawa[emoji5]