Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu umerahisisha sana yaani baada kukodi shamba laki tatu halafu ikawaje sasa??
Dawa, mbegu,maji,vibarua, wezi, muda,nk vyote hujataja vilikugharimu kiasi gani ila nimeona tu umewekeza laki tatu na kupata faida ya milioni mbili. Hongera sana mkuu.
Nashukuru Mungu nilishafanya kilimo..tena kwa kupewa buure bwana shamba wa sua..heheh...kilimo sio rahis km alivyoandika..atupe mahesabu hapa na bei ya mbegu za vitunguu ..na alitumia aina ipi ya umwagiliaj kwa hizo siku 100..na alitumia sh ngap kwa vibarua...hapa kun vibarua wa3.
1.wakulima tractor
2.kuweka mabox au matuta na zile furrows kupitisha maji..wana bei zao..azawaizi alisaidiwa na mama zake wadogo
3.wakuangalia shamba plus msos kwa 100dys!
kama hujikuti unabak na 200k..alafu et eka 1😂😂😂...
pluz madawa☺