Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mkuu, mbona huu uzi wa leo June 2, unatofautiana na Uzi ulio uweka May 25...!!??
Anyway, nimepitia threads zako nyingi na nimegundua kwamba huu uzi wa leo haujakua mkweli.
www.jamiiforums.com
Anyway, nimepitia threads zako nyingi na nimegundua kwamba huu uzi wa leo haujakua mkweli.
Salary Advance: NMB mna shida gani ?
Maisha yanasonga. NMB salary advance inakataa leo May 25, 2019 toka asubuhi. Ukiomba wanakwambia subiri dakika 10. Matumizi yamekuwa mengi kuliko mshahara nilioupata. Tatizo ni nini wakuu ? NMB najua mtatoa ufafanuzi. Tuna shida.