USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

Mkuu umerahisisha sana yaani baada kukodi shamba laki tatu halafu ikawaje sasa??

Dawa, mbegu,maji,vibarua, wezi, muda,nk vyote hujataja vilikugharimu kiasi gani ila nimeona tu umewekeza laki tatu na kupata faida ya milioni mbili. Hongera sana mkuu.
Kuna heka 5 hapo Chanika Masaki ila bora zikae tu kulima no
 
Huwezi kufanya biashara ukimkwepa dalari na ukitafuta soko mwenyewe kwanza haulipati maana mwenye access na matajiri ni huyo huyo dalari wewe mwenye bidhaa hadi umfikie mnunuzi umefanya kazi ya ziada na unaweza kuzulumiwa, lakini sio uamini kila dalari wengine ni vichomi wanakupoteza hapo napo unatakiwa umakini
 
nasema hivi bila dalali utadoda
 
Zao hili huhitaji roughly siku 100 na huendelea kuzaa na ukachuma hata michumo 10 endapo unaendelea kutoa huduma nzuri. Roba 1 la hoho ni kati ya 80 mpaka 100k. Hapa nilipiga hela nzuri sana, zaidi ya 2 mil.
Mkuu, sh. 2M kuzisubiri kwa siku 100 (miezi mitatu na nusu) unaita ni hela ndefu?
 
Term nyingine nikajitoa ufahamu ..nikawa namwaga area yenye mzunguko wa watu .lakinj nao wana kanuni zao..tunda 1 ukiuza ni 200..bado hela ya ulinzi .bado hela ya kumpa mwenye eneo ..bas matikiti yakae siku 3...hakuna..unakaa 27dys unauza tu eka 3. pyee..unajikuta ile hela ulomkwepa dalali bora ùngempa yy....mie kilimo nachokiamini kwa sasa ni kilimo cha MITI Tu
 
Sua mipapai inadoda haina ht wateja..inaweka vidonda balaa bora maembe wanauza..ila papai wamefeli..yaan mm samak na kilmo nakudadavulia km nameza maji...uzuri wataalam ukikaa nao fresh anakuambia bora ulime 15 acres..n uwe kbs na soko.zuri mapema kbs..hizi eka 1 au 2 bora umzalie mumeo tu mtoto..

wabongo hatupigii hesabu vitu lukuki hata ule muda wakukaa shamban nao ni hela..unajikuta una xtra ya 400k..manina
Sua kilimo wanachofanya hawa base kwa biashara bali kufundisha
 
Back
Top Bottom