USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

Mabaharia lazima ujue nguvu ya dalali sokoni ni kubwa tena usidharau,
Aaah hawa Watu Respect sana...

Mwaka 2018 mwazon nilikuwa Nalima Ngogwe (nyanya Chungu) Kilosa. Sehemu moja wana ita Rudewa.. Ile nime ivisha tu, Madalali wana niambia shamba 10000 Kiroba.. Na kiroba huchukua Dembe nne

Nikawaona maboya, mwanaume nikachuma Roba zangu kumi nika sema hapa dar siwez kosa 20000 kwa kila kiroba.

Nikasafirisha.. Kila kiloba kilikuwa kina Cost 12000 kufika dar, kisha kuna hrla ya usafi wa soko na ushuru 2000 , picha lime anza ile nimefika.. Naambiwa.. Kwanza siruhusiwi uza mwenyewe kuna madalali walisha sajiliwa ndio wana vibali vya kuuza.. So ikabidd nitafute dalali hapo twn wa kuniuzia mzigo wangu...

Maliza ya yote siku nimepeleka mie.. Kuna kama gari manne toka iringa nayo yalileta.. Nyanya chungu..

Mwanaume nikaanza ona mauza uza.. Kutoka na wingi wa mzigo siku ile nyanya chungu nzuri zilikuwa 15000 kwa 18000 Sokon... Zangu nikapata 15000

Dalali kwa kila roba analo uza ana dai 3000, hapo nikabaki na 12000 kwa kila roba.

Toka hapo madalali nika wa heshimu..
 



πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bora uongee ww..kuna mtu amenifata pm anasema ww dada kila kitu unajua how..nikasema naandika km mtu mzima..siandik km kutafuta sifa...mm kilimo kwasasa ni matunda tu..tena nayo nimekodisha kwa mtu..ss hv miguu juu..naitikisha tu miguu..sitak kbs yaan
 
Ndyo mkuu
bebe nang'oooo; uleniitaa mkuu: haha Dada bana.

Hii ifakara soon nikitulia toka mbarali; itabidi niende nikapa research maana msimu unaokuja nimepanga Lima mpunga; nikienda ntakushtua uniunganishe nao hao jamaa wanao facilitate nipate shule ya kutosha na hatimae kufanya maamuzi.
 



Wewe naye kwa kulima..hv huelewi eh??hahaha haya
 
Hahaha umenifanya nitabasamu na nicheke mkuu kwenye hili tukio lako.

Apa nina kibamvua siku si nyingi cha kutafuta nyumba kila nikiwafikiria hawa jamaa wa naenda kula kodi yangu ya mwezi mmoja, hahaha nabaki kujisemea mjini chuo kikuu
 
Naona unaamini sana kwenye kilimo
Dada Mimi nataka nifuate nyayo zako
Nipite pote mule ulipopita nione.
Maisha ni kujaribu na kwenye kujaribu
Kuna kupata na kukosa. Ila

I promise you, mitiki lazima niipande maana calculation ya 70 * 3000 imenitoa udenda kiukweli lazima tuwe sote mvua za masika.
 


Panda kaka....maana ni sawa na bure ...usisahΓ u bas kuja na hukuπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ˜πŸ˜
 
Umenifungua kichwa mkuu ubarikiwe sana
 
hahahhaa....huku niache tu..nitazikwa huku kakake
Uko palimfilisi mzee wangu; sema nahisi alikosea kwenye usimamizi,aliamini watu ambao hawakupaswa amini wa. Kwa unavyozulula Lula na wewe na wasiwasi, au upo site mwenyewe.

Sema ukija piga mshindo hata humu hatutakuona dada
 
Uko palimfilisi mzee wangu; sema nahisi alikosea kwenye usimamizi,aliamini watu ambao hawakupaswa amini wa. Kwa unavyozulula Lula na wewe na wasiwasi, au upo site mwenyewe.

Sema ukija piga mshindo hata humu hatutakuona dada
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Majibu unayo na umejijibu...lol...huku hela ya kustaafu mtu alofanya miaka 40 watu wanaipata within 4mthsπŸ˜‚πŸ˜‚....huku ww hufai..niache mie aiseeπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ...
 

Una hoja nzuri ila umekurupuka yaani maelezo hayajitoshelezi utadhani unakimbizwa
 
10yrs kuna biashara nyingi tu unaikuza huku unakula hela. Kukaa miaka kumi unasubiri mti ukue si kazi ndogo
Hiyo biashara haina tofauti na mtu ananunua kiwanja anasubiri kipande bei auze.

Biashara ya miti iwe side project na sio main project unaiwazia kila saa.
 
Hahaha umenifanya nitabasamu na nicheke mkuu kwenye hili tukio lako.

Apa nina kibamvua siku si nyingi cha kutafuta nyumba kila nikiwafikiria hawa jamaa wa naenda kula kodi yangu ya mwezi mmoja, hahaha nabaki kujisemea mjini chuo kikuu
Haina namna.. Wape chao maisha ya songe...

Umecheka hiyo. Sasa kuna jamaa yangu yeye alipeleka Hizo hizo nyanya Chungu Morogoro soko la mawenz

Akarudi ana daiwa hela ya kusafirishia mzigo ,Maana usafiri huwa tuna lipa baada ya kuuza..

Madalali sio watu wa kupuuzwa kama unafanya kilimo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…