USHUHUDA: Ninavyoyamudu maisha kupitia kilimo cha mbogamboga ndani ya ekari moja tu

Hiyo biashara haina tofauti na mtu ananunua kiwanja anasubiri kipande bei auze.

Biashara ya miti iwe side project na sio main project unaiwazia kila saa.
Uko sahihi
 
🔥🔥🔥Majibu unayo na umejijibu...lol...huku hela ya kustaafu mtu alofanya miaka 40 watu wanaipata within 4mths😂😂....huku ww hufai..niache mie aisee💃💃💃💃💃💃...
haha Dada bana et sifahi;

Wakati na mpango uko siku za usoni mambo yakiwa sawa ninue karasha nifungue mwaroo wa kuoshea na niwe na vijana wangu wa kunichambia kwenye duara langu na kwenda kwa mzungu kuvamia mchanga wake
 
Umetoka kidg nje ya mada...umeandika kuku chotara na kuku wa mayai...jikite kwenye kuku wa kienyeji tu..chotara na bloira na mayai weka pemben..hao inajulikana
Nafuga Kienyeji pia ambao kimsingi nawatumia kulalia Mayai zaidi baada ya ufanisi wa incubators na kutokuwa na uhakika wa Umeme mahali pa shamba kuwa kikwazo, kwangu wanafanya vizuri.
Torelance, consistence, economies of scale, among other things nazingatia sana....
 
Hongera sana mkuu
Japo Uzi wako umevamiwa na waliochemka kwenye Kilimo ko wao ni kuponda tu.
Nimeona watu wengi sana wakiendesha maisha na wengine wakifanikiwa kupitia Kilimo sasa usikate tamaaa hawa watu wa hivi huwa wapo tu wao wakichemka huwa wanadhani basi hicho kitu hakiwezekani kabisa.
 
ni kupanda wakati wa mvua tu kaka..gharama sio kubwa..haizid 200k..had chini ya hapo..sie tulipata kwa 100k..unapenwa mtaalam wa kuchek udongo wako bure..na miche bure..ni ww kuchimba mashimo tu makubwa
Ni wapi huko!?
Nahitaji kujua hiyo laki moja ni per acre ngapi na baada yakulipa shamba linakuwa langu baada ya kuvuna miti ?
Gharama zingine ni zipi ukiachana na vibarua wa kuchimba mashimo?
 
Mkuu laki 1 eka moja tu..ifakara huko ndani ndan...gharama kuprun matawi...na usafi wa shamba
 
Umetoka kidg nje ya mada...umeandika kuku chotara na kuku wa mayai...jikite kwenye kuku wa kienyeji tu..chotara na bloira na mayai weka pemben..hao inajulikana
Mmh bora chotara bhana! Huwezi kulinganisha na hao bloira na mayai aiseee
 
Na mm nilitaka azungumzie kienyeji tu...nakuelewa
Nilisoma comments zako nimegundua ulijishughulisha na kilimo pasi na kuwa na experience ya shambani yani ujuzi wa kuandaa shamba mwenyewe hadi kupanda utunzaji pia uliingia kwenye kilimo ukijifanya boss kwamba ww unaenda weak kwa weak au mwezi hadi unavuna.. Kilimo kinahitaji ufuatiliaji Sana unatakiwa uwe mtu wa kwenda shamba daily au siku nyingi mno ujue kichachoendelea pia inatakiwa uwe karibu Sana na shambani yani ulijali la sivyo endelea kupanda miti kwa sababu hupendi changamoto na watu wangesikiza ushauri wako kama amri Tanzania kungekuwa na njaa tungekula hiyo miti... hadi kwenye masoko ulijifanya boss kupitiliza kilimo cha bustani kinalipa ikiwa utakuwa makini Sana na mazao yako yani daily fika shamba ufanye shughuli za shamba na kuangalia matatizo au maendeleo ya miche yako.. Tatizo kubwa mkisikia kilimo mnadhani ni uboss mnavyo sikia watu au mitandaoni jiongeze kwa hayo machache pia tafuta mbegu nzuri hicho kitunguu kingekulipa Sana Sema. upendi changamoto tu.. :quiter never win and winner never quit... Me niliwahi fanya kazi za shamba tulikuwa tukiwa shambani daily mpaka vinakomaa na mavuno yalikuwa mengi tu.. na ongea kwa uzoefu nlopata... Sema wewe ni mwanamke kilimo kinahitaji pia ujitoe.. Mwenzako hizo ekari 2 ama moja analima alone au na mtu hata 1 au wa 2 anaandaa shamba yy ndio anakaa shamba na anamwaga dawa na kumwagilia gharama zingekuwa chache mno tofauti ww uliye kuwa unalipa watu mishahara.. .heshima kwenye pesa ilitakiwa au ungelima ekari nyingi... Maoni yangu
 
Sio kweli...nilikua nashinda shamba kutoka saa12 narud hom saa2 usk...tena sio peke yangu...kifupi nipo krb sana na wataalam wa kilimo..
Mwaka 2015 nilianza na robo eka.. nikalima mchicha nikapata tuta 52 ..zile tuta @nikauza 9500...kifupi hela ya pump yangu ya 1 nilipata kwemye huu mchicha .nikaja lima "bwasi"mchicha pori..nikapata hela nzuri..nxt term nikajikoroga...mchicha nilikua napeleka Sua canteen..kumbe wamefunga chuo...nkala hasara...
Nikaona kuna mwanga..nikahamia kwa tikiti..lilinipa faida nzuri kwakqel...tikiti la 2 nilipata matikiti mengi mnoo makubwa ..hapa ss ndo movie zilipoanza..yale ya kwanza niliuza kupitia dalali...ya 2 ndo nikaamua kuingia front mwenyew..nikawa nayamwaga sua..mijini.kona ya mzumbe...yaan kiufupi mwenzako nikitaka ht kulima harage siku ya leo sianz from nowhere...napewa kbs mtaalam..tena bure...

Huenda hujanielewa...SIJAWAH PATA MAVUNO HAFIFU HATA KIDG..ILA SOKONI bei zilikua haziridhishi...tikiti kubwa dalalo anakuambia nanunua kwa 800😏😏..sijawah jifanya boss ht siku 1...kazi zote za shamba kupiga box kutandaza mpira kuwasha machune nafanya...yaan had paliz nafanya kwa mkono wangu..mir kilio changu ni soko..lhalina uhakika...!

Sasa ww endelea tu kulima mkuu...mie hapa niltoa experience tu..kuwa ukilima eka 5 ni km unapata hela ya kula tu..anza na ekari nyingi utaona faida...mie ht unishikie mtutu nw nilime hizo mnazodai eka 2 zinakutoa SILIMI..
 
Sio kweli...nilikua nashinda shamba kutoka saa12 narud hom saa2 usk...tena sio peke yangu...kifupi nipo krb sana na wataalam wa kilimo..
Mwaka 2015 nilianza na robo eka.. nikalima mchicha nikapata tuta 52 ..zile tuta @nikauza 9500...kifupi hela ya pump yangu ya 1 nilipata kwemye huu mchicha .nikaja lima "bwasi"mchicha pori..nikapata hela nzuri..nxt term nikajikoroga...mchicha nilikua napeleka Sua canteen..kumbe wamefunga chuo...nkala hasara...
Nikaona kuna mwanga..nikahamia kwa tikiti..lilinipa faida nzuri kwakqel...tikiti la 2 nilipata matikiti mengi mnoo makubwa ..hapa ss ndo movie zilipoanza..yale ya kwanza niliuza kupitia dalali...ya 2 ndo nikaamua kuingia front mwenyew..nikawa nayamwaga sua..mijini.kona ya mzumbe...yaan kiufupi mwenzako nikitaka ht kulima harage siku ya leo sianz from nowhere...napewa kbs mtaalam..tena bure...

Huenda hujanielewa...SIJAWAH PATA MAVUNO HAFIFU HATA KIDG..ILA SOKONI bei zilikua haziridhishi...tikiti kubwa dalalo anakuambia nanunua kwa 800[emoji57][emoji57]..sijawah jifanya boss ht siku 1...kazi zote za shamba kupiga box kutandaza mpira kuwasha machune nafanya...yaan had paliz nafanya kwa mkono wangu..mir kilio changu ni soko..lhalina uhakika...!

Sasa ww endelea tu kulima mkuu...mie hapa niltoa experience tu..kuwa ukilima eka 5 ni km unapata hela ya kula tu..anza na ekari nyingi utaona faida...mie ht unishikie mtutu nw nilime hizo mnazodai eka 2 zinakutoa SILIMI..
Ulikuwa unawatisha nn wenzio kama ulishalima mwanzo ukapata faida... naona unabadili Gia angani hata sijui kama ushawahi lima chochote...
 
Baba ana 76yrs amepanda mitiki 100eka (march 2019)...nilitamani nimuulize baba ww mzima kweli??bt nikahis anafanya kwa upendo wa wajukuu zake ww endelea kutaka hela za fasta...!mie namuiga aisee...ni mstaafu anaishi km Waziri vile .aliwekeza shauri zako
The first best time to plant tree was 2years ago, the second best time is now.
 
Haina namna.. Wape chao maisha ya songe...

Umecheka hiyo. Sasa kuna jamaa yangu yeye alipeleka Hizo hizo nyanya Chungu Morogoro soko la mawenz

Akarudi ana daiwa hela ya kusafirishia mzigo ,Maana usafiri huwa tuna lipa baada ya kuuza..

Madalali sio watu wa kupuuzwa kama unafanya kilimo...
Du aisee nimecheka kama mazuri
 
Napenda sana kilimo na ufugaji hata kula unakula kitu unachokiamini
 
Back
Top Bottom