USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

Zingatia. Hakuna aliyewah kwenda tabora Tanga Lindi mtwara songea mombasa na Zanzibar kutafuta hela akafanikiwa.
 
Ni kweli kabisa.
Tatizo hawajiamini. Ukiwa na mnyamwezi lazima akupe limbwata.
Kuna limbwata Aina mbili, la kulishwa na la kunuia.
Mkimaliza kula mchana mnistue niendelee.
 
Zingatia. Hakuna aliyewah kwenda tabora Tanga Lindi mtwara songea mombasa na Zanzibar kutafuta hela akafanikiwa.
Hakuna kutoka kijijini kwenu aliyenda sehemu kama hizo akafanikiwa labda au watu wa kijijini kwenu hawana skills za kutazama fursa kwenye Hayo maeneo unayotaja mfano Zanzibar ulivyo mji wakitali vile Zanzibar ilivyo na supply ya vitu used from Dubai ,Zanzibar bidhaa nying za viwanda kutoka pakistan zinapita pale saizi mfano vifaa vya vimechezo wew unasemaje Ni Ngumu kufanikiwa haupo serious
 
Kufanya biashara utafanya ila kwa jins wanawake wa huko walivyo ni vigumu pesa kukaa chief. Czungumzii fursa. Mazingira hatarish. Mombasa pale kuna wazee mpaka ilifika mahali unampakia kwenye basi kumrudisha kwao amezeekea pale hana hata mia. Kila ukikaa nae stor zake ni Casablanca club
 
Wew tu mzee mim na amini kitu kimoja kama huna nidhamu ya pesa yako ata uwe kwenye mazingira Gani utatapanya tu Wanawake wazuri hawakufanyi utumie pesa ovyo ila Tabia zako za kutapanya pesa Ndio zitakufanya utapanye pesa ovyo
 
tabora hakuna hata wadada wazuri, labda wale wa chuo cha uhazili, vinginevyo nipo hapa sioni cha mno cha kunishtua nafsi yangu
 
Ni kweli kabisa.
Tatizo hawajiamini. Ukiwa na mnyamwezi lazima akupe limbwata.
Kuna limbwata Aina mbili, la kulishwa na la kunuia.
Mkimaliza kula mchana mnistue niendelee.
Mixer wanachanganya kwenye twilii huchomoki!
 
Sasa baada ya kushangaa kumbe sio mjini ulipouliza...wameamua kukuroga tunakuombea urudi salama...
 
Mmh..sidhani..labda ilikuwa bahati yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…