Ushuhuda: Tunaposema Shetani hana rafiki hatudanganyi

Ushuhuda: Tunaposema Shetani hana rafiki hatudanganyi

Zitto na JPM wamegeukana kwa kasi sana!Nimeelewa hivyo,hao madiwani ni casualties of war!
Kuna kitu ndani ya kabisa ya akili za Zitto kinamwambia kwamba yeye ni rais wa awamu ya sita.

Ni mawazo mazuri sana, tatizo yeye ni mbunge pekee wa ACT, najaribu tu kuwaza kwa sauti namna atakavyoingia ikulu ikiwa huku chini misingi ni mibovu.
 
Hapana,huyo ni wewe wala sidhani Zitto anauwaza huo urahisi maana anajua wazi hawezi kutoboa mbele ya magiant CCM na CDM!
 
nimeomba tangu mapema kwamba tusimjadili Zitto , tujadili hoja ya kwamba SHETANI HANA RAFIKI
Mkuu sijamjadili Zitto. Nomejaribu kufanya tafakuri ya tukio la kisiasa ambalo linagusa hisia na maisha ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom