FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sadly, its true!! Ila elimu iwe msingi wa kujijiri au biashara, haikwepeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nmemuuliza elimu ni nini, maana kuna mahali anazungumza mambo ya kulipa mapato, mara tax clearance kwa watoto, lakini anashindwa kujua hiyo nayo ni elimu vile vileWatu mmekariri kwamba elimu ni ile inayopatikana kwa kwenda shule na kufanya mtihani wa cheti, that is very shallow mindset, chochote unachojifunza katika mazingira ni elimu na bila elimu huwezi kufanikisha chochote.
Kwenye jamii yangu hawa watu siwaoni nawakutaga hapa JamiiforumsKwangu mm elimu nikumuwezesha kijana awe na uwezo mpana wakufikiria,kuna jamaa mmoja alisoma computer science udsm alipata gpa 3.8 alipomaliza tu kwa bahati nzuri mzee wake akawa anastaafu akachukua mtaji kwa mzee (mafao ya użeeni)akanunua trekta lakulimia nakubebea mazao jamaa sasa ni tajiri mkubwa kule kwao nahela aliochukua kwa mzee ameirejesha sasa anajiendesha mwenyewe
Kabisani kweli familia za wahindi walilifahamu hili mapema sana
Ndio mnadanganyana mkiwa chuo mkiingia mtaani mnakuta Mambo yako tofauti Sasa ivi elimu inatusaidia kusoma na kuandika na kutoa ujinga lakini elimu sio ufunguo wa maisha na hakuna mwalimu anafundisha maisha ni wewe mwenyewe umtangulize mungu na kufanya kazi kwa bidiiKwa fani za STEM(science, tech, engineering, math) elimu ni ufunguo aisee....
Hiyo aya ya mwisho nimependa.
Wengine hawataki kubadilika na ndio maana watu wengi wenye mafanikio hawana elimu ya degreeTumebadilika wazazi, lengo la awali ilikuwa ni kuajiriwa, ajira zimekuwa ngumu, sasa hivi tunasoma kwa malengo ya kuwa mwanasiasa msomi, tunalenga kuongoza serikali. Ajira tunayo, tumejiajiri
Elimu unayoizingumzia wewe ni ipi? Tafakari nchi zilizopiga hatua kubwa familia ni tajiri lakini watoto wanasoma.Hoja sio elimu ni aina ya Elimu.Wakati utakuja waliosoma elimu ya biashara ndio watapeta.Jiulize tajiri Namba Moja duniani Elimu yake ni kiwango Gani?.Kwenye nchi zilizoendelea matajiri wameenda shule.Sema kwetu huku Bado tupo kwenye level ya uchuuzi tu lakini wenzetu biashara inafanyika kisayansi na kisasa zaidiElimu sio ya kuibeza lakini ni vipi kama mzazi/mlezi una biashara ama umejiajiri kwanini umkazanie mtoto awe anasoma tu wakati wewe una formula ya uhakika ya kupiga pesa ? inasahangaza kuona mzazi anaingiza almost milioni 3 na kuendelea kila mwezi lakini anamkazania mtoto awe anasoma tu ili aje "KUJARIBU BAHATI YA KUAJIRIWA" (ni bahati kwasababu ajira zimekuwa ngumu na huenda mtoto shule ikamshinda), Kuna haja gani ya kusubiria mtoto apitie msoto ndio uanze kumshirikisha kwenye biashara wakati unaweza kuanza nae tangu ana miaka 10 ? mbaya zaidi ukiondoka mapema hata watoto hawana idea ya kusimamia mambo yako watauza mali zako kwa bei za kutupa na biashara kufilisika.
Na hapa kuna wazazi wanawafundisha watoto biashara ama kujiajiri ndivyo sivyo, Biashara kama duka unakuta mtoto tangu mdogo anachojua ni kuuza tu wala hajui faida inayopatikana, mzigo unaponunuliwa, vibali, kodi, n.k. Na mzazi anajisifu na kujipiga kifua kwamba anamfundisha mtoto biashara, LA HASHA !! Unamwandaaa aje auzie wengine maduka kwa mshahara wa laki 1.
Nao waliojiajiri mfano wakulima na wafugaji unakuta wanachofundisha watoto ni kuchunga ngombe na kulima tu, wala hawajawahi kwenda nao mnadani ama sokoni kutafuta wateja, kumfundisha mtoto kunegotiate, kumpa mtoto iridha ya wateja, n.k. mtoto akiulizia mzazi anamwambia soma kwanza !! ni kweli kusoma ni muhimu lakini kuna ubaya gani kumuongezea elimu ya kujipatia kipato cha uhakika ? kumyima mtoto haya maarifa ni kumuandaa awe shamba boy au mchungaji wa mbuzi.
Mimi binafsi kama mzazi nilipomaliza chuo nilipitia msoto nikimaliza soli kutafuta ajira, nilipewa kamtaji kufungua duka langu ila ugeni wangu katika biashara ulizifanya changamoto nazokutana nazo kwa mara ya kwanza zinilambe mitama huku nikipata faida ndogo sana, baada ya miaka kadhaa nikapata ajira stable lakini nikaona kazini pekee kutegemea mshahara ni kuridhika, sikukomaa vizuri kwa uzoefu kwenye biashara niliyofanya kabla sijaajiriwa lakini baada ya kuajiriwa bado nilikuwa na kiu kiu kuendelea na biashara, kama kawaida changamoto zilinilamba mitama ila kwa with time nimekuwa mzoefu na nina biashara kadhaa zinazonipa faida, nipo na confidence kubwa kwenye biashara na ndio imenibadilisha hata kiuchumi, account inasoma visifuri vya ziada.
Nilipostuka nimefungua kaduka ka mahitaji kwa mtaji wa kawaida kabisa kwa lengo la kusimulate watoto, nimeweka binti wa kuuza, ila watoto nilienda nao TRA kukata tax clearance, Niliwashirikisha closely kupata Tin namba ya eneo la biashara, niliwaonesha namna ya kulipia leseni ya biashara, wao ndio watakuwa wanalipia kodi ya makadirio kila baada ya miezi minne, kufanya stock kila siku litakuwa jukumu lao, n.k. Baada ya mwaka au miezi 6 nimepanga kuifunga hii biashara kisha nifungue upya kwa lengo la kuwazoesha wazoee process za kufungua na vibali.
Mwakani hivi naona watakuwa wamezoea zoea ndio ntaanza kuwashirikisha kwenye biashara zangu kuu.
Hio ndio elimu na tumuombe mungu Sana atupe elimu ya maisha sio atupe elimu ya darasanKwangu mm elimu nikumuwezesha kijana awe na uwezo mpana wakufikiria,kuna jamaa mmoja alisoma computer science udsm alipata gpa 3.8 alipomaliza tu kwa bahati nzuri mzee wake akawa anastaafu akachukua mtaji kwa mzee (mafao ya użeeni)akanunua trekta lakulimia nakubebea mazao jamaa sasa ni tajiri mkubwa kule kwao nahela aliochukua kwa mzee ameirejesha sasa anajiendesha mwenyewe
Huko kumfundisha mtoto ndio elimu yenyewe, tatizo.umekariri kwamba elimu lazima uende shule ukae darasaniElimu sio ya kuibeza lakini ni vipi kama mzazi/mlezi una biashara ama umejiajiri kwanini umkazanie mtoto awe anasoma tu wakati wewe una formula ya uhakika ya kupiga pesa ? inasahangaza kuona mzazi anaingiza almost milioni 3 na kuendelea kila mwezi lakini anamkazania mtoto awe anasoma tu ili aje "KUJARIBU BAHATI YA KUAJIRIWA" (ni bahati kwasababu ajira zimekuwa ngumu na huenda mtoto shule ikamshinda), Kuna haja gani ya kusubiria mtoto apitie msoto ndio uanze kumshirikisha kwenye biashara wakati unaweza kuanza nae tangu ana miaka 10 ? mbaya zaidi ukiondoka mapema hata watoto hawana idea ya kusimamia mambo yako watauza mali zako kwa bei za kutupa na biashara kufilisika.