Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha, ufunguo wa uhakika ni kumfundisha mtoto biashara ama kujiajiri mapema.

Kwangu mm elimu nikumuwezesha kijana awe na uwezo mpana wakufikiria,kuna jamaa mmoja alisoma computer science udsm alipata gpa 3.8 alipomaliza tu kwa bahati nzuri mzee wake akawa anastaafu akachukua mtaji kwa mzee (mafao ya użeeni)akanunua trekta lakulimia nakubebea mazao jamaa sasa ni tajiri mkubwa kule kwao nahela aliochukua kwa mzee ameirejesha sasa anajiendesha mwenyewe
 
Kariiibuuu mwaaalimuuu elimu ni ufunguo wa maisha shikamooo mwaliiimuuu daah maisha haya. Hongera mkuu
 
Ulimwengu wa sasa mfunze vyote mpe elimu mfunze na ujasiliamali
 
Watu mmekariri kwamba elimu ni ile inayopatikana kwa kwenda shule na kufanya mtihani wa cheti, that is very shallow mindset, chochote unachojifunza katika mazingira ni elimu na bila elimu huwezi kufanikisha chochote.
 
Sijui ni member gani humu aliwahi leta ushuhuda. Alisoma na watoto wa kihindi hadi kidato cha nne. Japo walifaulu ila hawakuendelea na elimu ya juu wala chuo.


Yeye aliendelea. Kuja kukutana nao baadae wale jamaa ni wafanya biashara wakubwa wa spare za magari. Muda huo yeye bado hajajipata vzr.
 
Elimu ni nini au maana yake ni nini kwanza?

Una watoto wangapi? Na wana umri gani?

Je hao watoto wanasoma?
 
Watu mmekariri kwamba elimu ni ile inayopatikana kwa kwenda shule na kufanya mtihani wa cheti, that is very shallow mindset, chochote unachojifunza katika mazingira ni elimu na bila elimu huwezi kufanikisha chochote.
Ndio nmemuuliza elimu ni nini, maana kuna mahali anazungumza mambo ya kulipa mapato, mara tax clearance kwa watoto, lakini anashindwa kujua hiyo nayo ni elimu vile vile
 
Tumebadilika wazazi, lengo la awali ilikuwa ni kuajiriwa, ajira zimekuwa ngumu, sasa hivi tunasoma kwa malengo ya kuwa mwanasiasa msomi, tunalenga kuongoza serikali. Ajira tunayo, tumejiajiri
 
Kwenye jamii yangu hawa watu siwaoni nawakutaga hapa Jamiiforums

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
ni kweli familia za wahindi walilifahamu hili mapema sana
Kabisa
Mfano lawalawa toka mwaka 1895...mpaka leo..
Sambamba na wale Patel...Jandu...ni vizazi vinaendeleza hata hawa Dewji....toka Gulam...Azim...Sasa yupo Mo.
 
Kwa fani za STEM(science, tech, engineering, math) elimu ni ufunguo aisee....

Hiyo aya ya mwisho nimependa.
Ndio mnadanganyana mkiwa chuo mkiingia mtaani mnakuta Mambo yako tofauti Sasa ivi elimu inatusaidia kusoma na kuandika na kutoa ujinga lakini elimu sio ufunguo wa maisha na hakuna mwalimu anafundisha maisha ni wewe mwenyewe umtangulize mungu na kufanya kazi kwa bidii
 
Tumebadilika wazazi, lengo la awali ilikuwa ni kuajiriwa, ajira zimekuwa ngumu, sasa hivi tunasoma kwa malengo ya kuwa mwanasiasa msomi, tunalenga kuongoza serikali. Ajira tunayo, tumejiajiri
Wengine hawataki kubadilika na ndio maana watu wengi wenye mafanikio hawana elimu ya degree
 
Elimu unayoizingumzia wewe ni ipi? Tafakari nchi zilizopiga hatua kubwa familia ni tajiri lakini watoto wanasoma.Hoja sio elimu ni aina ya Elimu.Wakati utakuja waliosoma elimu ya biashara ndio watapeta.Jiulize tajiri Namba Moja duniani Elimu yake ni kiwango Gani?.Kwenye nchi zilizoendelea matajiri wameenda shule.Sema kwetu huku Bado tupo kwenye level ya uchuuzi tu lakini wenzetu biashara inafanyika kisayansi na kisasa zaidi
 
Hio ndio elimu na tumuombe mungu Sana atupe elimu ya maisha sio atupe elimu ya darasan
 
Asante sana kwa kutufundisha biashara mzee, sisi wenyewe tunasubiri biashara hapa zikue, tukufyeke , tubaki tunapiga mpunga kwa kujinafasi maana umezidisha masheriti...🥱🥱🤣
 
Huko kumfundisha mtoto ndio elimu yenyewe, tatizo.umekariri kwamba elimu lazima uende shule ukae darasani

Hata kuishi na walimwengu ni elimu tosha, inakua na maana kama utaitumia vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…