Ushuhuda: Usinunue ardhi yenye makaburi kamwe

Mtoto wako utapewa utajua wewe unaenda naye wapi coz ww unabaki kuwa mzazi tu.
Lakini sio kwenda kwenye nyumba ya wenyewe ukakatike viuno kama vile....
Thubutuuu
Sawa ndani sitalala hakika. Lakini mahusiano hayawezi kufa kamwe na hili na ongea Mimi mwenyew nikiwa nilizaa na dada mmoja na akaolewa na mfanyabiashara mkubwa tu Kuna muda Hela natumiwa pia Mimi nikihitaji Wala sirudishi. Jamaa ananijua na ashaniambia issue yoyote ya mtoto lazima aniambie yeye na mzazi mwenzangu.

Kuhusu kula tunda ni Mimi tu nikitaka hata kesho.

Inshort usioe mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwenzio
 
Peace, (Mods naomba msibadili tittle ya uzi huu pia nitashukuru kama hamta uunganisa. Asante)

Wakuu, (hasa vijana) ardhi bado zipo nyingi sana maeneo tofauti na za kila aina, unapotaka kununua ardhi KAMWE usinunue ardhi yenye makaburi...
Mimi nanunua
 
Sawa ndani sitalala hakika. Lakini mahusiano hayawezi kufa kamwe na hili na ongea Mimi mwenyew nikiwa nilizaa na dada mmoja na akaolewa na mfanyabiashara mkubwa tu Kuna muda Hela natumiwa pia Mimi nikihitaji Wala sirudishi. Jamaa ananijua na ashaniambia issue yoyote ya mtoto lazima aniambie yeye na mzazi mwenzangu.

Kuhusu kula tunda ni Mimi tu nikitaka hata kesho.

Inshort usioe mwanamke mwenye mtoto wa mwanaume mwenzio
We tafuta hela acha kuota ndoto za alinacha na kujifariji 😂😂😂😂
 
Mbona huo ndio msimamo wa chama, kuna mtu anakaza fuvu? kila mwanamke aolewe na aliyezaa naye, habari za kuzaa na huyu halafu unataka kuolewa huku huo ni ulafi
 
Mwinya255 umesikia hii nikikuzalisha nimekuzalisha Baba mtoto ni mimi
 
Kibenten kinakoromaje wakati kinalishwa?. Jukumu la kibenten ni kumaliza upwiru wa mama mtu Basi.
Astaghfirullah!
Makaburi ya wenye pesa yaheshimiwe. Kibenten yeye akomae na gym uwezo wa kukata viuno usishuke.
 
Back
Top Bottom