#COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

MSEME TU UKWELI MNATUONEA GERE NA TANGAWIZI ZETU..! NA MICHUPA YTU YA ASILI.😌
 
Habari za siku nyingi sana Angel! Nimefurahi sana kukuona tena hapa jukwaani na pole kwa matatizo. Mungu akuponye
Nzuri sana ndugu yangu. Nipo nashkuru. Ahsante sana kwa duaa. Ndio tunazozihitaji kwa sasa.
 
Atakuwa ametumwa na CHADEMA HUYU[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Then ilikuwaje mkuu? Ulipata tiba gani?
 
eti "matibabu sahihi"....mkuu unachekesha, hufahamu virus wewe!
 
Mim nilikua na dalili Kama za jamaa hizo hizo Ila nikitumia dawa mseto nikapona
 
Kiufupi anataka kusema tiba ya corona IPO marekani, Sasa zile takwimu za vifo marekani ni za uwongo bila shaka.
 
 
Sijawahi ona mchungaji Tanzania anayeumwa corona wana ulinzi wa Mungu wanayemtumikia huyu aangalie njia zake na ajiulize ni mchungaji wa Mungu au shetani

Corona haiwezi mpata mchungaji wa kweli
 
Mpaka amefikia kuandika kitabu kizima cha kuambukizwa,kuugua na kupona korona hajagusia kuhusu mke na watoto wake aliosafiri nao kuja Tanzania na kurudi nao na ambao ndio waliombeba kumpeleka hospitali.Jee na wao vipi wapo hai au wako hospitali?
 
Huyu jamaa ni mzushi kwa kuzingatia nukuu ya maneno yake mwenyewe kisa anaishi Marekani

Nukuu "...ukizingatia kuwa nilianza kuumwa nikiwa kwenye ndege........"

Mpaka hapo tuhuma anazozitoa kuhusu Tanzania ni chuki binafsi maana virusi vinaweza kufanyakazi kati ya siku moja na siku kumi na nne hivyo kuugua kwake akiwa tayari yuko ndani ya ndege na kwamba amekiri wakati akiwa bado akivinjari kwenye mitaa ya nchi ya Tanzania alikuwa ni mzima basi ugonjwa aliupata ndani ya ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…