#COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

#COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

Uko sahihi kabisa. Mungu akubariki kwa hoja hii nzuri na kukuongezea hekima.
 
Kwa sababu unakaa Huko Huko na ulitoka Huko Huko huku unasema ulipata corona Tanzania na ukatibiwa Huko Huko Basi andiko na ujumbe wako unakosa uhalali wa kuaminika.

What if ukiwa umetumwa?

Shame.
Hata mimi habari hizi naziona zimekaa kaa kindivyo sivyo sana!!
 
Jamaa wana plana nzuri sana ya kutibu korona. Na plana lama hiyo hutolewa na wizara ya afya. Hapa kwetu Gwajima asiishie tu kuonyesha anapiga nyungu na kunywa pilipili. Waandae muongozo kwa wataalamu wa afya wa jinsi ya kutibu hii kitu.
Hahahahahahahhaaha lazima wote tuwe makajibay
 
Hata amesema uwongo lakini unakaribia kabisa kuwa na ukweli. Mie nimempoteza mke wangu. Na yote aliyoyasema hapa yalipitia humohumo. In fact nilianza mimi kupata maambukizi yenye dalili zinazoshabihiana na andiko lake. Hivyo kama wewe hayajakufika ni rahisi tu kubisha.

La msingi serikali iweke miundo mbinu ya kushughulikia tatizo hili. Liko serious na watu wanateketea ndugu
Pole ndugu yetu kwa kumpoteza mkeo. Mimi nimepoteza pia mtoto wa kakangu. Mwanangu ameugua, anaendelea vizuri, namshukuru Mungu.

Kila mwenye akili aamini kuwa kuna tatizo kubwa. Na hawa wanaolikataa tatizo, tujue tu kuwa ni sehemu ya utawala wa shetani hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom