#COVID19 Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

Mkuu umetoa ushauri mzuri ila naomba na Sisi tukushauri
Mkuu Corona imekusumbua sababu hufanyi mazoezi. Anza kufanya mazoezi.
Huu ugonjwa haumuathiri mtu anayefanya kazi za kushughulisha mwili, mfano wakulima,wabeba mikokoteni, wanamichezo, waendesha bodaboda,machinga etc
Ukisikia mtu anashambuliwa na Corona, ujue huyo mtu ni wale watu wa kuchukuliana na gari mpaka ofisini, akifika anakaa kwenye kiti mpaka anatoka, then anarudi nyumbani na kukaa kuangalia TV.kama unaishi aina ya hayo maisha, ukipata Corona inakumaliza.
Ila wazungu baada ya kugundua kwamba wanamichezo hawaathiriki na Corona ndio maana michezo inaendelea kama kawaida duniani kote. Wachezaji wa mipira siku hizi hata wakifunga magoli wanakumbatiana na majasho yao kama kawaida sababu wameshajua Corona haina impact kwao
NOTE:
Tangu Corona ianze 2019, hakuna mwanamichezo aliyefariki dunia, na hakuna mwanamichezo aliyewahi kuzidiwa na Corona na kupelekwa hospitalini.
Wanamichezo wanaiona Corona kama mafua tu, wakipata Corona wanajitenga ili wasiambukize wenzao ila huwezi kusikia wanaenda hospitalini kuwekewa oksijen
 
Hapa namkumbuka Ndungulile aliyesema nyungu si salama kwa mapafu,matokeo yake akaondolewa

Mtu oksijeni haitoshi bado unaipunguza kwa kuvuta mvuke,

Halafu hio maabara inayopima wageni nadhani kuna mtu kaandaliwa kabisa kuandika Negative,lengo letu ni watalii na pesa za kupimia ndio maana gharama zilipandishwa
 
Kwa hapa ukiwa na covid 19, then ukawa na akili ya kuwaelewa viongozi wetu lazima uondoke dunian haraka ipasavyo.
 
Yaani mkuu hata kama hawakuandaliwa mtu kuandika negative...ukweli ni kwamba wanaripua tu kutoa majibu....wageni ni wengi sana unadhani wanao huo muda wa kuwa accurate.....
 
Nimesoma hadi machozi yamenitoka.... Mungu wa mbinguni atupiganie . Corona ni mbaya sio ya kufanyia mzaha
 
Mtu mwenye element zote za kuwa primitive, hawezi kututoa salama katika hili janga kama mtamtegemea yeye awaongoze.
 
Sasa wanavyo tuhamasisha tujifukize lengo lao nini haswa? Kama hata hiyo ina madhara mbona watanzania tutaisha kwa mtindo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…