Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Yakinikuta Ndo ntakuja changia naona wengi mnaongea kirahc rahc tu lakn moyo kichaka hujui umpendae nn anakiwaza....
 
Yakinikuta Ndo ntakuja changia naona wengi mnaongea kirahc rahc tu lakn moyo kichaka hujui umpendae nn anakiwaza....

Roho by fid q. Alisemaga unajua unaempenda lakini hujui anaekupenda, kama kungelikuwepo kujua anaekupenda it could easy.
 
Mwenye haki ya kusema hivyo ni mwanamke bikra kwamba anamtunzia mumewe
Tunatofaufiana imani, mimi nime base upande wa Mungu wangu, Biblia yangu inasema usitende dhambi tena, ukiponywa usitende dhambi tena,

Na kutokuwa bikira haisemi kuwa ukimrudia Mungu mwanaume akija uwe mzinzi tu,
Ni sidhani kama kuna dini inaruhusu uzinzi

Mimi kwetu hawaruhusu uzinzi, wazinzi hawaingii mbinguni

Hao walio okoka na bado wanazini bado hawajajitambua vzr
 
Kwenye uzi wa kumiliki PM ya member wa JF, kuna mtu alisema anapenda kumiliki PM yako ili aone jinsi unavyowashauri watu.
Hakika nimeamini kwa asilimi nyingi japo sio zote. Ahsante kwa post hii
Hahaha huu uchochezi sasa
 
Rafiki anasali kanisa gani? Linaonekana liko vizuri
 

one of the best comments. niongezee hapo ni vema kudate na mtu mnayefanana misimamo ya kiimani tangu mwanzo kuepusha matatizo kama hayo.
 
one of the best comments. niongezee hapo ni vema kudate na mtu mnayefanana misimamo ya kiimani tangu mwanzo kuepusha matatizo kama hayo.
Kabisa, from the very beginning unajua mwenzangu anataka na kusimamia nini. Kama haviendani basi kila mtu anashika 50 zake
 
Niliwahi kuumia sana sana na kupitia maumiv ambayo naweza kusema kwa jinsi nyingine yalinitesa sana lakin pia yamenibadilisha na kuwa bora zaidi.

Nilimpenda sana, hata wkt ambao sikuwa na pesa.. nilimsaidia kazi yake. Kwao walijua na nilikaribia kutoa mahari maana ndio nilikuwa kwenye hatua za mwisho.
I can say , yule dada alikuja kupata mimba kutoka kwa mchepuko, mbaya zaidi hakusema. Alianza kunifanyia vituko ili niachane nae. Alianza kinifanyia vituko ili nimuache, lakin nilijikaza kutokana na kuwa nampenda.

Aliniumiza mno, siku moja nilikubali kuachana nae maana alishinikiza sana. Japo niliumia ilibidi nikubali, nikaenda zangu mbali kabisa kusikia habar yake. Mbaya zaidi hakuwah kunitafuta ili kukiri kosa kuchepuka..
Baada ya mwez nasikia anaolewa, na picha nikaona fb. Niliumia kuliko unavyodhani.

Ila nilijikaza, nikaendelea na maisha. Nilijua ni mtihani Mungu amenipa, ila sikujua kwa nn mimi.
Baada ya muda nikawa vizur, ila mpaka leo bado kidonda hakijapona. It is so painful nikikumbuka.
 
Pole sana mpendwa. Time is the best healer
 
Utakuta single mother wewe.
Lkn upo sahihi
 
Bila shaka umeshasahau machungu yote, na unajishangaa namna ulivyokuwa unaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…