Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Huyo dada, asiwaze.
Hata kama alimpenda huyo jamaa, the fact still is kulikuwa na conflict of interests.
Wewe kama unaamini ni sahihi kusubiri mpaka ndoa, dont settle for any less, do what you think is damn right.
Kama mlipishana hapo, hata ungekubali, mngepishana kwingine tena.
Ni bora uwe na mtu unayeendana nae kuliko unayempenda. Coz lemme tell y'all one thing; mapenzi hufa. Hivyo ni bora atleast uwe na mtu mtakayeweza vumiliana.

Narudia tena, Usibadili unachotaka kisa kuna ulichotamani.

Chill.
 
Huyo hakuwa wake.....Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili,..ningekuwa mm ndio yeye ningepiga goti madhabahuni na kutoa sadaka ya shukrani kwasababu tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo,.

Mungu akawe mfariji wake.
Haya maisha president san kutoa ushaur ila kuutumia ushaur wako kutibu tatizo lako ndo utata unapoanza
 
Kwenye uzi wa kumiliki PM ya member wa JF, kuna mtu alisema anapenda kumiliki PM yako ili aone jinsi unavyowashauri watu.
Hakika nimeamini kwa asilimi nyingi japo sio zote. Ahsante kwa post hii
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.

Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
hahaha mkuu umeongea kwa uchungu na msisitizo wa hali ya juu ulitukuka
 
dah nyie acheni tu,naweza kusema ni zaidi ya kuumia kupenda ni mtihani nyie.Mie nilikaa week kama chizi yani dah,acha tu mtu anakuja anaingia moyoni mnakuwa mnapendana na kuzoeana then mwisho wa siku ana change unaweza kujinyonga,thanks god niko salama lakini kwa kilichonikuta dah mungu ndo anajua
dah pole kiongozi wangu
halafu unakuta katika pitapita zako kwenye mitandao ya kijamii unakuta profile yuko na njemba limemkamatia kiuno huku kitumbo kimetokekelezea freshi kwa mbele(mimba)...halafu wanaandika hapo.chini ya picha Mungu ni mwema ( hapo amemuacha mtu na matusi na kashfa kibao)
 
Wewe ndo unaona tatizo, kwake yeye ndo maisha yake aliyoyachagua. Kila watu wana taratibu zao wanazozifuata ukitaka kuoa/kuolewa kwao, na ni sawa kabisa. Wewe ukiona zinakushinda, tafuta ambaye choices na formalities zake zinaendana na wewe

Kama mtu alisex ila akaona ni ubatili tu akaamua kurudi kwa Mungu wake, who are you to judge her? Tafuta mtu anayeamini kile unachokiamini, ukiona ya walokole huyawezi, kausha tu
Lkn ukumbuke kuwa huyo unayemtetea kuwa abanane na mungu wake ndio alikuwa anamwaga chozi,au huo mstari haujauona kwa mleta uzi?
 
Lkn ukumbuke kuwa huyo unayemtetea kuwa abanane na mungu wake ndio alikuwa anamwaga chozi,au huo mstari haujauona kwa mleta uzi?
Hata jambazi akifa huwa tunamlilia, but inawezekana kimoyomoyo tunashukuru kuwa angalau mauaji yatapungua na Mali za watu zitapona. Mtu kulia sio kwamba ndo anakutakaaaa, saying goodbye isn't an easy task. Muda mwingine unalia tu yale mazoea ya kuwa na huyo mtu, ila after weeks unapiga tu "akwendreeeee"
 
Shake well before use.

Huyu mwanaume sijui niiteje mahusiano yetu ila siku anaenda kumvalisha mwanamke pete aliniambia mwenyewe akasema hakutaka nisikie kwa watu ingeniumiza zaidi. Sikulala wala kusikia hamu ya chakula kwa siku tatu nilikua najilazimisha tu chochote kiingie tumboni. Siku akioa sielewi kama ntaumia au la
 
Wanawake wengi hua wanapoteza potential husbands kwa vigezo vyao vya kijinga.

Kupewa utam hadi siku ya ndoa ndio ujinga ambao siwezi kufanya maisha yangu yote hata kama mwanamke ni malaika alieshuka toka kusikojulikana.
Kwa kweli ni ujinga. Unaenda kuolewa mwanaume hana nguvu za kiume anakudanganya na yeye anasubiri ndoa. Sharti langu la kwanza kwa atakaetaka kunioa ni kuishi mimi na yeye under same roof kwa miezi sita halafu taratibu zingine ziendelee. Na utakuta huyo anaeleta hizo sijui kuonjana ni mpaka ndoa hana hata bikra.
 
Wakuu,

Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi.

Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' .

Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa anataka abebe mimba ndio amuoe.

Dada wa watu ni mlokole akamwambia asubiri kwanza mpaka wafunge ndoa.

Jamaa akamuacha akaanza mahusiano na mtu mwingine kwa siri. Akapewa tamu mimba ikaingia.

Jamaa fasta kamvisha pete na leo ndio ndoa yenyewe.

Dada alipo hapa anamwaga chozi...
Sasa anamwaga chozi la nn wakati yeye ni mlokole? Nadhani sasa amejifunza kuachia hiyo **** ijazwe mimba ili kusudi apate kuolewa.
 
Huyu mlokole atakaa sana, nani anaoa bila kutest mitambo siku hizi? Mwambie aache mambo yake ya kizamani apanue mapaja mtalimbo uingie haraka apate mimba.
 
Inauma kwa muda tu then atapoa tu, kuna ile mtu ulimpenda + mazoea ndo yanaumiza. Inawezekana kabisa yeye angebeba mimba na hata asiolewe, akaishia kuwa single mom tu. Wapo wanawake wengi tu walikuwa wanabembelezwa wazae, now hawaamini kilichowakuta after kubeba mimba; kuzaa sio kuolewa.

Kama anachokifanya, anakifanya kwa ajili ya Mungu wake, she is doing the best thing na Mungu anayemtumania wala hatomuacha aaibike. God has something very amazing in store for her, awe tu mvumilivu, atalia machozi ya furaha na kusema Mungu ahsante nilipita tu kule. Nampa hongera, maana wengi wetu huwa tunachagua tamaa zetu, tunamuweka Mungu wa pili; na huwa tunavuna tunachopanda kwa kweli
wadada wengine sio wa kuwaamini! wachungaji wao wana wageuza wake zao wapemben halafu wakitangaza ndoa wachungaj wanakuwa wakali eti hakuna kugusana wakati mchungaji anakula haphapo
 
wadada wengine sio wa kuwaamini! wachungaji wao wana wageuza wake zao wapemben halafu wakitangaza ndoa wachungaj wanakuwa wakali eti hakuna kugusana wakati mchungaji anakula haphapo
Jamani too much negativities with Wachungaji na Waumini wao. Najua wengi wetu hatupendi mambo ya kupelekana kwa Wachungaji and all that, so tuchukuane tu ambao hatuna huo utaratibu. Hata baba angu mzazi anaweza akakutaa, sasa mbona Mchungaji akikutaa unamuona anatembea na binti? Afu uzuri wa kanisani unashauriwa tu, at the end of the day unaamua mwenyewe kipi cha kushikilia. Tafuta ambaye hana utaratibu wa kanisani period, wao waache waendelee na Wachungaji wao

Afu issue ya kuinvolve Wachungaji sijui tunahisi tunawafanyia favor Wachungaji, kumbe it's for our own. Ingekuwa tunamuweka Mungu mbele siku zote, mabalaa mengine yasingetukuta. Mchungaji ni mlezi wa Kiroho, anaheshimiwa kama anavyoheshimiwa mlezi wa kimwili, kuna tatizo gani akibless uchumba wenu na akawapa some maarifa na ufahamu wa kuishi nao huko mnapoelekea? . Afu ndoa zikianza kuleta masukunyumbu, watu wa kwanza kuwakimbilia ni hao hao Wachungaji
 
Wakuu,

Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi.

Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' .

Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa anataka abebe mimba ndio amuoe.

Dada wa watu ni mlokole akamwambia asubiri kwanza mpaka wafunge ndoa.

Jamaa akamuacha akaanza mahusiano na mtu mwingine kwa siri. Akapewa tamu mimba ikaingia.

Jamaa fasta kamvisha pete na leo ndio ndoa yenyewe.

Dada alipo hapa anamwaga chozi...
Labda kama ni bikra hapo sawa
 
Inauma kwa muda tu then atapoa tu, kuna ile mtu ulimpenda + mazoea ndo yanaumiza. Inawezekana kabisa yeye angebeba mimba na hata asiolewe, akaishia kuwa single mom tu. Wapo wanawake wengi tu walikuwa wanabembelezwa wazae, now hawaamini kilichowakuta after kubeba mimba; kuzaa sio kuolewa.

Kama anachokifanya, anakifanya kwa ajili ya Mungu wake, she is doing the best thing na Mungu anayemtumania wala hatomuacha aaibike. God has something very amazing in store for her, awe tu mvumilivu, atalia machozi ya furaha na kusema Mungu ahsante nilipita tu kule. Nampa hongera, maana wengi wetu huwa tunachagua tamaa zetu, tunamuweka Mungu wa pili; na huwa tunavuna tunachopanda kwa kweli
Lakini kama mwanamke sio bikra mimi sioni haja ya kutofanya mapenzi kabla ya ndoa
 
Back
Top Bottom