Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Nilikuwa siwaelewi wanawake lakini miska miwili baada ya kuoa nikanza kuwasiliana kirafiki na ma ex wangu... nilikua na kama girlfriends Sita (6) Hivi ambao nilifkia stage ya kufikiria kuwaoa, kati yao kuna ambaye nilikaa naye miaka kumi ....yupo aliyekua bikira na nilihakikisha .. na yuko ambaye Alibeba mimba ( moja ikawa miscarriage na nyingine akaitoa baada ya kusikia nimeoaa ...maskini hana mtoto hadi Sasa )
All to say baada ya kureconcile na kumove On wanne kati ya hao waliolewa ambaye nilimuoa mimi ni yule ambaye sikumpa umuhimu Sana yaaani
Lakini wote wakinieleza uchungu waliopitia siku nilipoooa ,kuugua, pressure , ulcers etc
Toka wakati Huo huwa nawawaeleza wadogo zangu wasicheze na hisia za wanawake
At times wanaonekana kutokujali hivi mbele za watu Lakini kama hawa kwakua waliishia kuja Ndugu zangu walinieleza pain waliyoipitia hasa wakiwa chumbani .. ni kujifungia na kulia tu !!!
Ni watu wachache Sana huwa wanabahatika kuoa au kuolewa na love of his or her life
Na mtu akishapitia ile pain huwa haji kupenda tena kwa namna ile anaweza kuoa au kuolewa na akapenda Lakini lile chozi na kwikwi hutaweza kumwaga Kwa mtu tena
Sometimes kwa vijana ile pain inakukomaza , mtu aliyeipitia akavuka hataweza kuja kujiuwa kwa ajili ya mpenzi tena !!! Au hata kuuwa mpenzi kwa ajili ya mapenzi ...It’s a necessary pain at times