Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Ushuhuda wadada: Ulijisikiaje siku mpenzi wa zamani alipooa wakati wewe bado hujaolewa?

Wakuu,

Hapa ninavyoandika ni kuwa harusi inanguruma kanisani na ni karibu na maeneo ya shoga yangu kipenzi.

Alinipigia simu nikambembeleze maana mwanaume aliyekuwa naye alimuacha kwa kuwa alimnyima 'utamu' .

Ananiambia huyo jamaa walikaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi ila jamaa alikuwa anataka abebe mimba ndio amuoe.

Dada wa watu ni mlokole akamwambia asubiri kwanza mpaka wafunge ndoa.

Jamaa akamuacha akaanza mahusiano na mtu mwingine kwa siri. Akapewa tamu mimba ikaingia.

Jamaa fasta kamvisha pete na leo ndio ndoa yenyewe.

Dada alipo hapa anamwaga chozi...
Hilo ni fungu la kukosa bhana haikuwa ridhiki yake ila inachoma kama umekanyaga mkaa wa moto doihh
 
Sikia kwa jirani yako usiombe kabisa ikukute yani ni balaa mnoo
na mbaya zaidi kama ulisubject akili yako yote kwake ukahisi bila yeye huwezi inakuwa hard time kurudi kwenye ground level. but inawezekana ikishatokea ni kuvumilia na kusubiria ujio mwingine hasa nyie mnaosubiri mufwate.
 
Kabisa yani mapenzi ni magumu sana ingewezekana kuyaacha na kufanya mengine ingekua nafuu sana sema kuingia humo ni automatic
 
Huko kwenye mimba mbali sanaa, we nipe nionje kwanza afu mipango ya kukuweka ndani ianze, unawekaje mali ndani kama hujanogewa?
 
Kabisa yani mapenzi ni magumu sana ingewezekana kuyaacha na kufanya mengine ingekua nafuu sana sema kuingia humo ni automatic
Ni ngumu balaa ila ukiweza kuteki a deep breath kuwa ni changamoto za kawaida sawa na mtu anapopata hasara ya biashara utarelax
 
Kabisa yani mapenzi ni magumu sana ingewezekana kuyaacha na kufanya mengine ingekua nafuu sana sema kuingia humo ni automatic
Changamoto zipo lazima tujue kupambana nazo zinapotutokea
 
Back
Top Bottom