Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello JF,
nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara,
Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee.
Uwiano wa ahadi na matendo yao wako juu sana sana.
Mungu awaongezee wema na sifa njema.
Wadiz.