Hapo sawa maana watu sikuhizi wanaweza kukudanganya kumbe sio kweli maana hata Wahaya wanagawa tu, hii ni ishu ya maadili na malezi.Hakuna ukweli wowote hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa maana watu sikuhizi wanaweza kukudanganya kumbe sio kweli maana hata Wahaya wanagawa tu, hii ni ishu ya maadili na malezi.Hakuna ukweli wowote hapo.
KabisaHapo sawa maana watu sikuhizi wanaweza kukudanganya kumbe sio kweli maana hata Wahaya wanagawa tu, hii ni ishu ya maadili na malezi.
Binafsi nawaheshm sana.Hello JF,
nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara,
Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee.
Uwiano wa ahadi na matendo yao wako juu sana sana.
Mungu awaongezee wema na sifa njema.
Wadiz.
Hawajui WAJITA huyo! Muache ataleta mlejesho soon!mjita 😂😂, au unaishi dar
Kuna jamaa mjita alikuwa anapigwa na mkewe mjita pia, saiv kaoa msukuma anajinenepea tuHivi unawajua wajita kweli? Ndani ya mkoa wa mara wanawake wanaoogopwa ni wajita, koz ni wajuaji,waongeaji sana,na ukicheza anakutanguliza mbele za haki ila kukatikia na kuililia hawajambo lakn be carefull.
Kweli jamaa yangu tusiwapake matope aki na cheupe tuwape na sifa yao ya uchakarikaji. Tatizo wanafanya kazi kwa muda mrefu wanachoka ndo maana wakifika kitandani wanakwambia itafute mwenyewe, itumie na ukimaliza nifunike.Jasiri haachi asili
Bado wadada wa kaskazini ni undisputed vile viumbe Mungu awape maisha marefu.
Wanajua kupenda, wanajua maisha, spirit ya utafutaji, wanajua kulea na wameumbika vilivyo!
Dada zangu wa kimasai, kimeru, bila kusahau kule babati, Moshi na kule upareni mna nafasi yenu
🤣🤣Kula ukimaliza ufunike!Kweli jamaa yangu tusiwapake matope aki na cheupe tuwape na sifa yao ya uchakarikaji. Tatizo wanafanya kazi kwa muda mrefu wanachoka ndo maana wakifika kitandani wanakwambia itafute mwenyewe, itumie na ukimaliza nifunike.
WASUKUMA wapo mikoa mitano ila mimi naongelea wasukuma wa Shinyanga, mimi ni mzaliwa wa huko na nimekulia huko nilichokisema nina uhakika nacho.Huyo hajakupenda.....wasukuma wanajua kupenda na hawana gharama ya matunzo.....akikupenda unarelax na uzur wake wanabidii katika kaz so ni msaidiz mzur sana.......!!
Me now npo usukuman huku shy napiga mishe zangu kuna katoto kamodo tako la kofi......kamezimika atari....kanataka nkape mtoto....Now npo mbal nako mana kapo Mwanza kanamalizia chuo ila nkikaambia kitu kanafanya na wakat mwingne namwambia afanye kitu flan il tukosane duuuu kanafanya utasikia kanasema..."mi nmefanya kwa sababu nakupenda eeeti"WASUKUMA wapo mikoa mitano ila mimi naongelea wasukuma wa Shinyanga, mimi ni mzaliwa wa huko na nimekulia huko nilichokisema nina uhakika nacho.