Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae.
Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi.
Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.