Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Kuna wilaya Moja nilikuta Chain iko hivi:-

Single maza > Bodaboda > Wanafunzi > Wazee (Wababa)

Nilishangaa sana.

Afu katika Wilaya ile.....wajane wako wengi sana 80%. Wababa wa Wilaya ile..daahh wanatembea na mabinti wa shule za msingi na sekondari. Binti mdogo miaka 12-16 anaingizwa lodge mchana kweupe na libaba la 50-70 daah
sio njombe hiyo
 
Sio kila mzinzi ni singomama, wapo wengi tuu wanazinihadi kuvunja ndoa lakini sio singomama

Sio kila anayetafuta mahitaji ya watoto ni singomama, wapo wanawake wengi wenye waume wasiotoa mahitaji ya chakula, mavazi wala malazi kwa watoto zao

Sio kila singomama ana shida ya pesa, wengine wanajitosheleza sana tuu kiuchumi
Tukisema wapare ni wachungu, tunamaanisha asilimia kubwa ila sio wote
 
Mbwa na m
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
pumbavu mkubwa we 🎽
 
Wewe huna watoto mpaka ukasomeshe na kutumikia mtoto wa mwanaume mwenzio?
 
Back
Top Bottom