MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
Mshukuru Mungu , kama wewe ni single maza ambae ni mcha Mungu na una hofu ya Mungu.Mkuu bhana acha chuki za rejareja bhana enjoy Eid
Unazakiwa ila muamuzi wa fate/Destiny ni mwenyezi MUNGU so usiwe una hukumu watu sana