Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Hii data ya ulevi naion ileee kuw na ukweli kutokan na huyu ninae mkula sasa
Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya

98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.

90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile

85% ni walevi
 
Dah mpka kwa watoto wako?? Weeee jamaa weee

Anyways ila kwa watu kama mtoa mada, wanafanya sababu ya huruma na upendo walio nao kwa hao wanawake zao wenye watoto ni upendo tu na huruma



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Mwanaume ni Mkuu wa Himaya. Ukiwa na Himaya...then mwanamke akaidisrespect....akaenda kwingine na watoto wako....then be like a lion.

Anza UPYA. Tengeneza equation mpya. Kama ni watoto, watakutafutaga tu wenyewe wakiwa wakubwa uko. But usikubali Heshima ya UTU wako ikapotea.
 
Single mothers wengi wana Ukimwi achilia mbali STI za kufikia Ni 90%
Jaribu mwende mpime Ukimwi. Kwanza
Maana matako na kumeza njugu utachagua Mwenyewe.

kutokana na mchango wako huo, je takwimu hizi ulizikusanya kupitia dada zako au kupitia ule uzi wako kuwa umeathirika?
 
Fanya hivyo kama sadaka...sio badae uanze kulalamika kuwa mtoto ulimsomesha lakini pesa anampa baba yake...
 
Mwanaume ni Mkuu wa Himaya. Ukiwa na Himaya...then mwanamke akaidisrespect....akaenda kwingine na watoto wako....then be like a lion.

Anza UPYA. Tengeneza equation mpya. Kama ni watoto, watakutafutaga tu wenyewe wakiwa wakubwa uko. But usikubali Heshima ya UTU wako ukapotea.
Wewe ni mshindi kwa upande wako MzeeKipusa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Umewapima singke mothers wote?
Au wewe ndo unawasambazia ngoma?
Umeongea kwa uhakika kana kwamba una data kamili
Read between the lines. Na ni vyema ukajua kwasasa Taifa letu lipo katika changamoto kubwa sana ya mmomonyoko wa maadili.

SingleMazas nao ni source ya tatizo
 
Hajakaa sawa unamletea belo la abaya.. Hajapumzika mtoto wake tayari ushamfanyia booking boti ya azam akatalii Zanzibar... Maeee... Yani hupoi huboi
 
Wewe ni mshindi kwa upande wako MzeeKipusa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Familia ni Taasisi ya Mungu. Na yeye ndiye huwa anajua BARAKA za hiyo familia, riziki, THAWABU na Hatima yake. Mungu anapowajalia watoto,..na mkashindwa kukaa kwà kutulia...pleasure za Ulimwengu zikawazingua...kufosi kufanana na familia za watu wengine....hapo ni yeye mwenyewe ndiyo huwa anaisambaratisha. Na yeye ndio huwa anaangalia aliyesababisha kubomoka kwà familia hiyo ...Baba, Mama au Watoto...kisha ana deal nae papendicular...kiufupi , hataweza kuexperience peace maisha yake yote huyo kisababishi unless amemrejea Mungu...

Hapo ndo utakuta kuna mibaba kila kukicha inashinda bar..full mistress....au mi mama muda wote kuzurura kusaka wanaume wa kusex nao..kubomoa familia za watu....
 
Back
Top Bottom