Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Ushuhuda wangu kuhusu Single Mothers

Hapana si asilimia kubwa hivyo,kuna masi gle mother wajane kama mimi na sina HIV,kuna wengine pia hawakuachwa bali waliamua kuondoka wenyewe.
Daah pole sana mamii Sasa samahan lkn huduma zile za kijamii unapataje mpendwa wangu sorry kwa hilo swali mama
 
Mm sio mama ni. Baba ila hizo takwimu zako zimekaa kichuki chuki ni km uliachwa na mwanamke eliekua unampenda

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanamke anayeweza kuniacha Ndugu. Kiufupi Mimi ni mtu mwenye msimamo mkali sana, huwa sipendi kuyumbishwa kwenye kitu ninachokiamini.

Kabla sijaacha,...lazima nijiridhishe na niwe na sababu za kuacha.

Ni mtu mwenye maamuzi, uthubutu, mkweli na mwenye utayari.

Nikimpenda mwanamke ,..huwa ni huyo huyo..nakua Muaminifu kwake. Sipendi kushare mapenzi. Ukinisaliti , ndo inakua Imeisha hiyo. And I don't care!
 
Ko huyo kaka hatakaa apone atakua anatoa usaha siku zote??

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Labda atumie mitishamba..au aache kabisa hiyo tabia.

Lakini tatizo lingine ni kwamba .......tatizo hilo la kufanya wanawake kinyume na maumbile lina spirit mbaya sana Sawa na ile ya kujichua ( masturbation)... #labda akaombewe!
 
J
Najivunia Mimi ni Blood Group AB+,....hatupatagi ngoma Sisi. So ninao uwezo wa kusex na mtu mwenye Ukimwi na nisiupate UGONJWA huo.

Kwà bahati mbaya , watu tulio na aina hii ya group la Damu sisi huwa sio wazinzi...
Jidanganye.
 
Labda atumie mitishamba..au aache kabisa hiyo tabia.

Lakini tatizo lingine ni kwamba .......tatizo hilo la kufanya wanawake kinyume na maumbile lina spirit mbaya sana Sawa na ile ya kujichua ( masturbation)... #labda akaombewe!
Ooh so kumbe akiacha anapona kabisa then wakati anakuja chukua izo azuma ungekua una mshauri aache sasa uo mchezo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau. Moja kwa moja kwenye hoja.
Mwaka jana nikaingia kwenye penzi na single mother mmoja hivi, mapenzi yalikuwa mubashara mwanzo lakini ghafla akawa haeleweki, kufatilia nikagundua ana mahusiano na mtu mwingine nikajaribu kumuhoji akawa mkali nikasema sio kesi. Ghafla yakaanza masharti nikitaka kutoka nae mara yupo bize.
Katika kutafakari nikaona atanisumbua niachane nae lakini siku nimeamua kuachana nae nikamsikia akikopa pesa kwa mtu kwa ajili ya mwanae shule. Basi imani ikaniingia nikampa kile kiasi cha pesa. Nikashangaa mahaba yamerudi kama mwanzo. Nikabaini uzaifu wake ni mwanae. Basi weekend moja nikamchukua mpaka mall flan ya watoto nikamwambia amchagulie mwanae anachotaka. Halooo, week 2 badae jamaa aliyetetelesha penzi langu nikaona anatuma meseji na kupiga simu kila mara anabembeleza penzi. Ebana mie huyu mwanamke sasa hivi sina time nae na deal na mwanae tu, akiamka nishamuiliza mahitaji ya shule, akikaa vibaya nishamwambie nimelipia twisheni atampeleka basi hata mzigo siku hizi siombi napewa tu popote ntapokutwa tofauti na zaman mpaka niombe tupange lini tunatoka.
To yeye naomba nijue ada unadiwa kiasi gani nipo tayari kulipa
 
Ooh so kumbe akiacha anapona kabisa then wakati anakuja chukua izo azuma ungekua una mshauri aache sasa uo mchezo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hawezi kuacha, ..anapenda sana kufanya sex. Ni mtu asiyejali afya yake. Kiufupi, ..mwili umemtawala. Hawezi kufanya Maamuzi juu ya mwili wake.

Akimaliza kufanya sex...hali ikiwa mbaya , anakufuata umpige bomba..

Nshamshauri sana huyo boss mtoto....

Ah..mimi ninachoangalia ni anilipe tu pesa yangu ya matibabu basi...mengine shauri yake...cause ndo maisha aliyochagua kuishi
 
Usingle mama sio wanaupenda Hakuna mtu anapenda kuwa single mama au baba. Kuwazodoa ni SAwa na kumcheka mlemavu kwa kiburi cha uzima ila ujui kesho YAKO.
Wengine wamefiwa, talaka, danganywa, walikosea mahusiano,nk.
Tusiwahukumu hawa
Ni kusema maisha yana mengi sana sema nadhani ni utaratibu Sasa ambao umezoeleka na jamii kuwashambulia single mother kama njia ya kupoza hasira na maumivu wanayopitia
 
Masingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya

98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.

90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile

85% ni walevi
Huo utafiti umefanya wewe au Kuna wataalamu walilipwa pesa zetu za kodi wakaja na majibu hayo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
UPDATE
Binafsi huwa sijali kuhusu mapito ya mtu, hata kama ukiniambia aliwahi kubakwa kama nimeamua kuwa nae ntaendelea nae. Kuna wanawakre wanaonekana hawana maana lakini amini amini nakwambia huyo mwanamke unaemuona wa maana ndio atakupa maradhi.
Nikirudi kwa Songle mother wengi hukosa watu waaminifu hasa kutokana na hii mindset ya hovyo vichwani mwa watu, so weng huwa approach kwa nia ya ngono pekee na si zaidi. Kiukweli kwa experience yangu ukimuonesha kunjali na kumfanya ajionr salama kwako ni watu watiifu sana. Imagine huyu wangu kwa sasa namuona kabisa sio kama zaman wakati sijaonesha kumjali.
 
Back
Top Bottom