hassanjrtz
Member
- Apr 10, 2023
- 15
- 15
mbona kama kuna ukweli flani kwenye hili niliwahi kuambiwa hivyo pia [emoji16][emoji16]Her: "Siuzi, ila sitoi bure"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kama kuna ukweli flani kwenye hili niliwahi kuambiwa hivyo pia [emoji16][emoji16]Her: "Siuzi, ila sitoi bure"
SingleMaza mmoja alisikika akisema...."nataka huyu Mwanaume nimchune, anijengee nyumba, kisha niachane nae". Akaongeza kwà kusema ," sitaweza kumbembea Mimba, nitakua namdanganya tu,...kamwe siwezi kuzaa na Mume wa mtu".UPDATE
Binafsi huwa sijali kuhusu mapito ya mtu, hata kama ukiniambia aliwahi kubakwa kama nimeamua kuwa nae ntaendelea nae. Kuna wanawakre wanaonekana hawana maana lakini amini amini nakwambia huyo mwanamke unaemuona wa maana ndio atakupa maradhi.
Nikirudi kwa Songle mother wengi hukosa watu waaminifu hasa kutokana na hii mindset ya hovyo vichwani mwa watu, so weng huwa approach kwa nia ya ngono pekee na si zaidi. Kiukweli kwa experience yangu ukimuonesha kunjali na kumfanya ajionr salama kwako ni watu watiifu sana. Imagine huyu wangu kwa sasa namuona kabisa sio kama zaman wakati sijaonesha kumjali.
You're the best, one in million na si hawa wengine wanao tu jumuisha na kutuona viumbe vya ajabu maana tunatembelea vichwa na makalio badala ya miguuUPDATE
Binafsi huwa sijali kuhusu mapito ya mtu, hata kama ukiniambia aliwahi kubakwa kama nimeamua kuwa nae ntaendelea nae. Kuna wanawakre wanaonekana hawana maana lakini amini amini nakwambia huyo mwanamke unaemuona wa maana ndio atakupa maradhi.
Nikirudi kwa Songle mother wengi hukosa watu waaminifu hasa kutokana na hii mindset ya hovyo vichwani mwa watu, so weng huwa approach kwa nia ya ngono pekee na si zaidi. Kiukweli kwa experience yangu ukimuonesha kunjali na kumfanya ajionr salama kwako ni watu watiifu sana. Imagine huyu wangu kwa sasa namuona kabisa sio kama zaman wakati sijaonesha kumjali.
duhMasingle maza wengi ni waathirika wa Ukimwi. Je mmepima? Au unafurahia tu kupewa matako
Duh nini, kwani uongo?
Bora nkupende wewe kabisaHapana si asilimia kubwa hivyo,kuna masi gle mother wajane kama mimi na sina HIV,kuna wengine pia hawakuachwa bali waliamua kuondoka wenyewe.
Duh! Chief huku mbali, hiyo laana umeitoa wapi tena. Tukosoane kwastaha ila kudharirishana sio vyema, huoni wanayopotia ni adhabu tosha.Hiyo kweli singo maza wengi wamelaaniwa wanato*** Sana Hadi huruma hawana heshima wachafu wa Matendo
Nivizuri Mwanamke akae na mmewe Hadi afe na akifa atafute namna aoloewe Maana michezo ya kula matako watu tumeanza kuona pitia singo maza
ThanksUna tahdharishwa kwamba:
Matumizi ya lugha ya unyanyapaa na unyanyasaji au lugha ya kibaguzi(racist language) umegundulika/yamegunduliwa katika uzi huu.
Baadhi ya wachangiaji katika uzi huu wamekuwa au wamekuwa na nia hasi dhidi ya jamii. Umeonywa. Shirikiana kwa uangalifu mkubwa
Hivi watu wajf wengi wenu mnaishi mazingira gani duuuhHapo umeshazoa UTI tayari...singo maza wapo tayari hata wakupe kwa mpalange ili mtoto wake ale...
Unawavinjia heshima nduguMasingle maza wengi huachika kwasababu ya 1. uzinzi. 2. Tabia mbaya
98% afya zao huwa sio nzuri though kwà muonekano wa nje huwa hawajionyeshi.
90% huwa wanapenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile
85% ni walevi
Ndio tabia zaoHivi watu wajf wengi wenu mnaishi mazingira gani duuuh
Walishajivunjia Heshima wenyewe...kukubali kuishi maisha ya kujidharirisha kwenye Jamii.Unawavinjia heshima ndugu
Hayohayo ya kawaida ila tumepitia magumu mengi,ndio maana tuko na expiriensi ya kutoshaHivi watu wajf wengi wenu mnaishi mazingira gani duuuh
Kapuku wa aina gani?Nasikitika uzi wangu wachangiaji wengi ni wanaume makapuku. Mindset ya mtu ya mtu ina nafasi kubwa sana kuelezea kipato hata kama hatujuani lakini kwa kusoma comment tu naweza kujua unahangaishwa na maisha kiasi gani. Watu wenye pesa hawana mda wa kutengeneza nazaria zisizo na maana hada kuzusha tena kwa kuweka na takwimu eti asilimia kazaa ni waathirika mara wanatoa matako sijui nini. All in all people with no money wana makasiriko sana na siwalaumu najua vichwa vyao vinawaza pesa na wanaamini bila pesa hupati mwanamke wa kukupenda so it is a tragedy kwa kweli.
Kinacho nishangaza ni kwamba mtoa mada alikuwa ana bembea tu,si kwamba labda alimuoa na nyongeza ya mtoto,hapana. Sasa cha kuhudumia huyo mtoto nini 7bu?Kwà upande wangu siwezi kabisa.
Nina kinyaa sana kufanya Mahusiano na wake za watu au masingle maza. So huko huwezi nikuta.
Pili. Kwà upande wangu,..
Nikiwa na Mwanamke na tukapata bahati ya kutengeneza equation ya familia = baba + Mama+ watoto. Then akazingua , akajitoa au kuiharibu equation,...asee sitajihusisha tena na yeye wala wale watoto. Ndo vile....
So kuna maboya kama mleta uzi ndo Waga yanawahudumia hao watoto! ( Maana Mimi nakua sipo tena kwenye hiyo equation ) ..nawaachia wao hiyo equation. Mimi naenda kutengeneza nyingine. Ivo yani ( si umempenda mke wangu bhana?!!! Ukipenda boga, penda na ua lake)
ANATAFUTA laana huyoKinacho nishangaza ni kwamba mtoa mada alikuwa ana bembea tu,si kwamba labda alimuoa na nyongeza ya mtoto,hapana. Sasa cha kuhudumia huyo mtoto nini 7bu?
Ndiyo maana mimi nikahoji,kwamba huyu jamaa hana watoto mpaka akasomeshe na trip za supermarket kwa mtoto wa mwanaume mwenzie?