ahzan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2022
- 288
- 452
We tuendelee apa apa kama sikuelewa mara ya kwanza unafikiri nikirudi nitaelewa tenaRudi kwenye comment yangu ya kwanza kwenye uzi huu halafu ndo uje tena.
Sikia sasa mnafiki wa kujitegemea twende taratibu sawa eeh mtoa mada anamtumikia na kumsomesha mtoto wa mwanamke wake, na wewe dizani kama ukamshangaa ivi kwa anachokifanya
Very simple na mimi nikakuuliza je wewe huwezi mhudumia na kumsomesha mtoto wa mpenzi wako??
Hapo je??? Au bado nipo nje ya mstari
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app